• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Uzinduzi wa kamati ya malezi Jumuishi

Posted on: December 20th, 2023

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imefanya uzinduzi wa program Jumuishi ya Taifa ya Malezi ,Makuzi na Maendeleo ya awali ya Mtoto (MMMAM).


Uzinduzi huo umefanyika Desemba 20 kwa  kushiriksha wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, kisiasa ,wataalam mbali mbali kutoka Halmashauri na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto.


Program hiyo  inaongozwa na kauli mbiu Mtoto kwanza na watoto wetu tunu yetu.


Akizungumza kwenye uzinduzi huo kaimu Mkurugenzi Fatuma Kisalazo amesema programu hiyo itasaidia kumkuza mtoto kimwil ,kiakili, lugha, kijamii, kiutamaduni, kihisia na kimaadili.


Aidha Kisalazo ameongeza kwamba programu hiyo inalenga kutoa huduma za afya , lishe, malezi yenye mwitikio, ujifunzaji wa awali na ulinzi na usalama wa watoto wenye umri wa miaka 0 -8 kuimarisha ushirikiano wa wadau wa sekta mbalimbali katika huduma za programu.


Kisalazo pia ameikumbusha jamii kuwa jukumu la kulea watoto na kuwalinda ni la jamii nzima wazazi walezi, serikali na wadau wote.


Afisa ustawi wa jamii bwana Yahya Mbogolume amewataka wazazi kutimiza majukum yako ya kimalezi sqmbamba na  wazazi  kushiriana na walimu kufuatilia maendeleo ya watoto wao wanapokua mashuleni.


Mmoja wa wadau walioshiriki uzinduzi huo Stephano amesema programu hiyo ni nzuri na itasaidia kuokoa taifa.


Stephano ameishauri serikali kukaa na wamiliki wa vituo na kuzungumza  nao kwani wanamengi kutoka kwa watoto wanaowalea lakini wanashindwa kuyatoa kutokana hawana ushahidi wa kutosha.


Naye  Deodan Katie amesema watoto wengi wanaharibika kutokana na vipindi vilivyo kwenye runinga havina maadili kwa watoto.


Pia ameshauri watoto wapewe elimu ya kujielewa na wajengewe kujiamini ili wanapokutana na changamoto waweze kuripoti.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.