• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

Posted on: October 10th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Bi. Regina Bieda, ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuwapatia Maafisa Mifugo vishikwambi vitakavyosaidia kuongeza ufanisi katika utendaji wa kazi za kila siku.


Akizungumza wakati wa makabidhiano ya vifaa hivyo, Bi. Bieda alisema vishikwambi hivyo vimekuja kwa malengo mahsusi, ikiwemo kuwezesha matumizi ya mfumo wa utambuzi wa wanyama, ambao utarahisisha ukusanyaji na uwasilishaji wa taarifa za mifugo kwa usahihi.


“Serikali haiwezi kupanga bila kuwa na takwimu sahihi. Hivyo ninawasihi Maafisa Mifugo kutumia vifaa hivi kikamilifu katika zoezi la uchanjaji wa mifugo na utoaji wa taarifa sahihi kila siku,” alisema Bi. Bieda.


Aidha, aliwataka maafisa hao kuonyesha bidii na uwajibikaji katika utekelezaji wa majukumu yao, huku akisisitiza umuhimu wa kila kata kutoa taarifa za maendeleo ya chanjo za mifugo kwa wakati.


Kwa upande wake, Afisa Mifugo wa Wilaya aliwataka maafisa mifugo wote kuhakikisha wanatunza vishikwambi hivyo na kuvitumia kwa kazi zilizokusudiwa, akibainisha kuwa vifaa hivyo ni sehemu ya juhudi za serikali kuboresha mifumo ya kidigitali katika sekta ya mifugo.


Wakizungumza kwa niaba ya wenzao, baadhi ya maafisa mifugo waliopokea vifaa hivyo waliishukuru serikali kwa kuona umuhimu wa kuwapatia vitendea kazi vya kisasa.


Francis Ekon, Afisa Mifugo wa Kata ya Ruvu, alisema vishikwambi hivyo vitawasaidia kuongeza tija katika utendaji wa kazi zao za kila siku,


Huku Evelyn Mutagwaba, Afisa Mifugo wa Kata ya Kilangalanga, akisema vifaa hivyo vitarahisisha upatikanaji wa takwimu sahihi na kurahisisha utumaji wa taarifa kwa wakati.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WASIMAMIZI NA MAKARANI October 06, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

    October 10, 2025
  • KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

    October 09, 2025
  • GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

    September 24, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OCTOBA 29, 2025.

    September 27, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.