• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu Sekondari

Majukumu ya Idara ya Elimu Sekondari

  • Usimamizi wa Taaluma ya wanafunzi.
  • Usimamizi wa uboreshaji wa Miundo mbinu ya kufundishia na kujifunzia  na uandikaji wa taarifa zake.
  • Usimamizi wa michezo ya UMISSETA kuanzia ngazi ya shule, Wilaya, Mkoa, Kanda na Taifa.
  • Kusimamia na kuhakikisha walimu wanapata maslahi yao mbalimbali kwa mujibu wa taratibu na miongozo iliyopo.
  • Kuratibu na kusimamia mafunzo kazini, kwa wakuu wa shule na walimu ili kuwajengea uwezo katika utekelezaji wa majukumu yao.
  • Huduma mbalimbali kwa walimu, wanafunzi na jamii kwa ujumla.
  • Kuhudhuria vikao mbalimbali vya kisheria na uandaaji wa taarifa za robo mwaka, nusu mwaka na mwaka mzima.
  • Kuratibu na kusimamia zoezi la uendeshaji wa mitihani ya kidato cha sita,nne na pili.
    • Kufuatilia nidhamu ya walimu na wanafunzi shuleni
  • 9.1: Malengo

     

    Halmashauri ya Wilaya ya kibaha ina jumla ya shule za Sekondari 13, ambapo shule 8 ni za Serikali na 5 ni za Binafsi. Idara ya Elimu Sekondari imeendelea kuratibu shughuli mbalimbali za Elimu kama ifuatavyo;

    UTEKELEZAJI  ELIMU SEKONDARI 


    1. Kuendelea kutekeleza azma ya kuwa na angalau Shule moja ya kidato cha tano na sita. Kwa kila tarafa
  • Shule 02 za kidato cha Tano na Sita zimeanzishwa kwenye Tarafa ya Mlandizi na Soga ambazo ni Kilangalanga na Rafsanjan Soga.

    Utekelezaji 


    1. Kuendeleza na kuimarisha mafanikio katika ujenzi wa Shule kwa kuongeza Idadi ya walimu, kununua vifaa vya maabara na vitabu ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa elimu ya sekondari.
  • 9.2: Hali Ya Maendeleo Ya Elimu 

    Nyumba zimejengwa Kwala na Ruvu Station (02)

    Utekelezaji

    Kuendelea na mpango wa ujenzi wa Nyumba za walimu hasa sehemu za vijijini.

    Ujenzi wa Jengo la Utawala – Kilangalanga (01)

    Ujenzi wa Mabwalo – Kilangalanga (01)

    Kujenga vyoo – Dossa, Kilangalanga, Mihande (MMES II)

    Kutengeneza madawati

    Kukarabati Madarasa, Dosa Azizi, Mihande (Miradi ya Benki ya Dunia) MMES II

    Kujenga madarasa – Shule ya Sekondari Kilangalanga (04 ya kidato cha 5na 6)

    Utekelezaji

    Kusimamia ubora wa miundombinu ya Shule za Sekondari na kuleta ufanisi katika utoaji wa elimu.

    Shule zote zinashiriki michezo ya UMMISETA kuanzia ngazi ya shule hadi Taifa na kimataifa (UMMISETA & FEASA)

    Utekelezaji

    Kuimarisha michezo shuleni

    Maabara zimejengwa kwa kila Shule na zinatosheleza uhitaji kwa sasa

    Utekelezaji

    Kuendeleza mpango wa kujenga Maabara

    Hosteli zimejengwa

    Idadi ya walimu imeongezeka

    Vitabu na vifaa vya maabara vimenunuliwa kupitia fedha za uendeshaji hadi sasa uwiano ni 1.1 (Hisabati na Sayansi na 1:3 Lugha na Sanaa).

    Utekelezaji 


    • Ujenzi wa Maabara
  • Idadi ya wanafunzi wanaoandikishwa kila mwaka imekuwa ikiongezeka mwaka hadi mwaka, mfano mwaka 2010 jumla ya wanafunzi 993 kati yao wavulana ni 505 na wasichana ni 488 waliandikishwa, ambapo kwa Januari, 2015 wanafunzi walioandikishwa ni 1,058 ambao kati yao wavulana ni 484 na wasichana ni 574, ongezeko hili ni sawa na 7%.

    Uandikishaji wanafunzi wa Kidato cha kwanza

    Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010 kulikuwa na maabara 06 tu kati ya 24 zilizokuwa zinahitajika katika ufundishaji wa masomo ya sayansi. Hadi Juni, 2015 jumla ya maabara 24 zimepatikana kati ya hizo, maabara 07 zipo katika hatua mbalimbali za ukamilishaji.


    • Ufaulu wa Mitihani ya kitaifa Kidato Cha II, IV na VI.
  • Ufaulu umekuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka kama inavyoonekana katika majedwali yafuatayo;


    • KIDATO CHA II
    • NA

      MWAKA

      UFAULU %

      1

      2012

      54

      2

      2013

      41

      3

      2014

      91

      5

      2015

      89.5


      • KIDATO CHA IV
    • NA

      MWAKA

      UFAULU %

      1

      2012

      81.5

      2

      2013

      88.1

      3

      2014

      96.5

      4

      2015

      95.8

      (c) KIDATO CHA VI

      NA

      MWAKA

      UFAULU %

      1

      2010

      38.8

      2

      2011

      33.5

      3

      2012

      21.5

      4

      2013

      38.9

      5

      2014

      65.2

      6

      2015

      68.2


      • Shule za kidato cha V na VI
    • Hadi mwaka 2010 Halmashauri ilikuwa na shule 1 tu yenye kidato cha V na VI. Lakini kwasasa Halmashauri ina shule 3 zenye kidato cha V na VI.


      • Nyumba za walimu
    • Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010 nyumba za walimu zilikuwa 45, lakini hadi kufikia 2015 nyumba za walimu zilizokamilika zipo 48 kati ya hizo nyumba 02 zipo hatua mbalimbali za ujenzi.


      • Idadi ya walimu
    • Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010 Halmashauri ilikuwa na walimu 195, hadi 2015 idadi ya waalimu katika Halmashauri imeongezeka hadi 308 ambayo ni sawa 58%.


      • Hosteli
    • Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010 Halmashauri ilikuwa na hosteli 15, kufikia 2015 Halmashauri ina jumla ya hosteli 20. Sawa na ongezeko la 33.3%.


      • Matundu ya vyoo vya wanafunzi
    • Halmashauri imefanikiwa kuongeza idadi ya matundu ya vyoo hadi kufikia 150 kutoka 127 ya mwaka 2010 ambayo ni sawa na ongezeko la 18.1%.


      • Madawati na meza
    • Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2010 Shule za Serikali zilikuwa na madawati na meza 3,641, hadi kufikia 2015 shule za Serikali zina jumla ya madawati na meza 4,500. Sawa na ongezeko la 24%.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.