• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

Posted on: September 24th, 2025

Baraza la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlandizi kwa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2024/2025 limefanyika leo tarehe 24 Septemba 2025, ambapo miongoni mwa ajenda kuu ilikuwa ni uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa mamlaka hiyo.

Katika uchaguzi huo, wajumbe wa Baraza wamemchagua kwa mara nyingine Geofrey Kazinduki kuendelea kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti kwa kipindi cha mwaka mmoja ujao.

Akizungumza mara baada ya kuchaguliwa, Kazinduki aliwashukuru wajumbe wote kwa kuendelea kumuamini na kumpa nafasi ya kuongoza, huku akiwaahidi ushirikiano wa karibu na bidii katika kutekeleza majukumu ya maendeleo ndani ya mamlaka hiyo.

“Naahidi kushirikiana nanyi kwa dhati katika kuhakikisha tunaleta maendeleo na kuinua huduma kwa wananchi wetu wa Mlandizi,” alisema Kazinduki.


Naye Mwenyekiti wa Mamlaka ya Mji huo, John Pili, aliwataka wajumbe pamoja na wataalam kuendelea kushirikiana kwa karibu, akibainisha kuwa mshikamano huo ndio utakaosaidia kuinua mapato na kuharakisha maendeleo ya mji huo.


“Sisi wenyeviti ndio tunaishi na

 wananchi, tunazijua changamoto na fursa zilizopo kwenye biashara na ujenzi. Tukishirikiana kwa karibu, hakika tutafanikiwa kupandisha mapato ya Halmashauri yetu,” alisema Pili.


Baraza hilo limeendelea pia kujadili masuala mbalimbali yanayolenga kuimarisha ukusanyaji wa mapato na kuboresha huduma kwa wananchi wa Mji wa Mlandizi.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WASIMAMIZI NA MAKARANI October 06, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

    October 10, 2025
  • KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

    October 09, 2025
  • GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

    September 24, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OCTOBA 29, 2025.

    September 27, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.