• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

Posted on: October 9th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kupitia Divisheni ya Elimu Sekondari imefanikiwa kusajili Shule ya Sekondari Mwakamo-Ruvu, iliyopo katika Kijiji cha Minazi Mikinda.


Shule hiyo imejengwa kwa gharama ya shilingi milioni 528.9, fedha zilizotolewa na Serikali Kuu .

Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea shule kubwa na ya kisasa yenye fani za ufundi, wakisema kuwa itakuwa mkombozi kwa watoto wao katika kupata ujuzi wa ajira na kujiajiri.

Akizungumzia mafanikio hayo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Bi. Regina Bieda, amesema kuwa ujenzi na usajili wa shule hiyo ni hatua muhimu katika kuinua kiwango cha elimu wilayani humo.


“Tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kuwekeza katika elimu. Shule hii ya Mwakamo-Ruvu siyo tu kwamba itarahisisha upatikanaji wa elimu ya sekondari, bali pia itawaandaa wanafunzi wetu kupata ujuzi wa ufundi utakao wawezesha kujitegemea na kuchangia maendeleo ya taifa,” alisema Bi. Bieda.


Kwa upande wake, Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya, Bi khadija Rajab, alisema shule hiyo itaanza kupokea wanafunzi mwanzoni mwa mwaka 2026, na tayari maandalizi ya walimu na vifaa vya kufundishia yanaendelea.


Kupitia mradi huu, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha inaendelea kutekeleza dhamira ya serikali ya kuhakikisha kila mtoto anapata elimu bora, jumuishi na yenye uelekeo wa ujuzi.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WASIMAMIZI NA MAKARANI October 06, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

    October 10, 2025
  • KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

    October 09, 2025
  • GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

    September 24, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OCTOBA 29, 2025.

    September 27, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.