• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Elimu Msingi

Majukumu ya  Idara ya Elimu msingi

Idara ya Elimu msingi ina majukumu yafuatayo:-

  • Kuwakilisha Wizara ya Elimu na TAMISEMI katika ngazi zote
  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa sera ya Elimu , sheria na kanuni katika Elimu ya watu wazima na ufundi stadi
  • Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Halmashauri ya wilaya kuhusu masuala yote ya kielimu.
  • Kudhibiti matumizi ya fedha za Elimu kwa mujibu wa miongozo ya fedha za serikali.
  • Kushughulikia upanuzi wa Elimu katika ngazi ya Elimu ya Awali, Elimu ya Msingi, Elimu ya Watu Wazima, mafunzo ya Ualimu na vituo vya ufundi stadi.
  • Kufuatilia kwa madhumuni ya kutathmini maendeleo ya Elimu katika wilaya.
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya Elimu  kila mwaka.
  • Kuhakikisha kwamba shule zote zinaboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia.
  • Kuhimiza udhibiti na na nidhamu ya walimu na wanafunzi wilayani.
  • Kusimamia maslahi ya walimu
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya darasa la Pili, la Nne na la Saba , mafunzo ya ualimu na mitihani ya vituo vya ufundi stadi katika wilaya kwa kushirikiana na uongozi wa Mkoa na Baraza la Mitihani la Tanzania.
  • Kufuatilia utekelezaji wa taarifa za ukagizi wa shule na vyuo.
  • Kusimamia maendeleo ya Taaluma na michezo katika wilaya.
  • Kukusanya, kuratibu na kuchambua takwimu za Elimu katika wilaya kwa ajili ya Mipango ya Maendeleo katika ngazi ya shule, wilaya, mkoa na Taifa.
  • Ni Katibu wa Kamati ya Elimu ya Halmashauri ya Wilaya kufuatana na kifungu cha 2 cha sheria Na. 25 ya mwaka 1978 na kurekebishwa mwaka 1995.

 

UTEKELEZAJI ELIMU MSINGI 

  • Katika kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015 idara ya elimu msingi illitekeleza miradi miwili mikubwa yenye thamani ya Tsh. 109,190,800. Fedha hizo ni Ruzuku ya maendeleo kutoka serikali kuu kupitia Mpango wa maendeleo ya elimu ya msingi (MMEM). Katika mwaka 2007/2008 Idara ya elimu ilipokea jumla ya Tshs. 16,500,000.000 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa Tshs. 9,300,000.000 na nyumba 2 za walimu Tshs. 7,200,000.00 kwa mwaka 2011/2012 tsh. 32,690,800.00 zilitolewa na serikali kwa ajili ya ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa Tsh. 13,790,800,Tsh2,500,000.00 ni fedha za madawati 73, kujenga matundu 4 ya vyoo kwa tsh. 2,400,000.00 na Tshs. 14,000,000.00 ujenzi wa nyumba ya mwalimu kwa mwaka 2013/2014 idara ilipokea tsh. 20,000,000.00 za umaliziaji wa chumba kimoja cha darasa katika shule ya msingi uhuru.
  • Mwaka 2009/2010, idara ya elimu msingi ilipokea kiasi cha tsh 40,000,000.00 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha watoto wenye ulemavu kilichopo katika shule ya msingi Mlandizi .Ktai ya fedha hizo Tsh. 19,980,000.00 zilitumika katika ujenzi wa vyumba 3 vya madarasa ya watoto wenye ulemavu, Tshs. 7,050,000.000 ujenzi wa uzio wa madarsa ,Tsh, 9,513,000.00 zilitumika kujenga matundu 5 ya vyoo na Tsh, 3,457,000.00 zilitumika kutengeneza samani za shule kwa ajili ya wnafunzi wenye ulemavu.
  • Aidha, katika kutekeleza miradi hiyo mikubwa miwili idara ya elimu msingi imeweza kupunguza msongamano uliokuwa umejitokeza katika shule kubwa za jirani na shule ya Uhuru za Mtongani na Azimio .Pia katika shule ya watoto wenye ulemavu mradi umeweza kuwaweka pamoja watoto wenye ulemavu katika kituo kimoja.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.