• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Amefanya Mkutano na Wananchi wa Mlandizi Kusikiliza na kutatua Kero

Posted on: January 29th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amefanya mkutano wa kusikiliza kero za wananchi wa Mamlaka ya mji mdogo wa Mlandizi.

Akizungumza kwenye mkutano huo wa  Simon amewataka wazazi kupambania elimu kwa watoto wao kwani tayari Serikali imeondoa michango ya ada na  jukumu lililobaki kwa wazazi ni kuhakikisha watoto wanasoma.


"Wito wangu kwenu wazazi kupambania elimu za watoto, naomba mjitahidi kuwakamilishia mahitaji mengine,  kama unaweza kujibana ukanunua dera moja unaweza pia kujibana ukanunua kitabu, kama mnavyofuatilia tamthilia mnaweza pia kufatilia maendeleo ya watoto wenu, " alisema.


Kadhalika Mkuu huyo wa Wilaya alibainisha kwamba wanadhamiria kuazisha blocking farming na tayari wameshapata mashamba ekari 1500 na matrekta matatu na kuwa watahitajika vijana waliotayari kushiriki kwenye kilimo hicho kufika ofisini kwake.


Awali akijibu kero za wananchi Simon alimuagiza Mkuu wa Polisi  Mlandizi kuhakikisha wizi uliokithiri katika mji wa Mlandizi unakwisha ndani ya mwezi mmoja.


Alitoa maelekezo hayo baada ya kupokea kero kutoka kwa mmoja wa wananchi Said Hemed akilalamika kuwepo kwa uhalifu kwenye mji wa Mlandizi.


Katika hatua nyingine Mkuu huyo wa Wilaya aliwaahidi wakazi wa  Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuwamba utaratibu wa kupata vitambulisho vya NIDA utarudiwa tena kwani imebainika wananchi wengi bado hawajapata huduma hiyo na hivyo wamejipanga kuongeza timu ya wataalam na bajeti.


 Ramadhani Mambote alimuomba Mkuu huyo wa Wilaya zoezi la uandikishaji wa Nida lirudiwe kwani wananchi wengi hawakupata huduma hiyo.


Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kibaha  Mhe. Erasto Makala amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha fedha nyingi kwenye Halmashauri hiyo na kufanikisha utekelezaji wa miradi ya maendeleo.


Pia amempongeza Mkuu huyo wa  Wilaya kwa maono yake ya kuanzisha block farming na tayari utekelezaji umeshaanza kwa kupata matrekta kutoka Serikali kuu.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.