• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA MFUMO WA TAUSI YAFANYIKA KIBAHA DC.

Posted on: September 17th, 2025


Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Leo Sept 17,2025  imeendesha mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa TAUSI kwa watumishi kutoka kada mbalimbali ndani ya halmashauri hiyo, ikiwa ni jitihada za kuboresha ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuongeza ufanisi katika utendaji kazi.


Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Bw. Daniel Mwita, ambaye ni Mhasibu kutoka Taasisi ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI), amewahimiza watumishi kuhakikisha wanatumia mfumo huo ipasavyo kwa kufuata hatua na maelekezo yote yanayotolewa ili kuleta tija na ufanisi katika ukusanyaji wa mapato ya ndani.


"Mfumo huu ni nyenzo muhimu katika kuhakikisha tunadhibiti upotevu wa mapato na kuongeza uwazi katika shughuli za kifedha za halmashauri. Ni muhimu kila mtumishi anayepewa dhamana ahakikishe anaufahamu na kuutumia vizuri mfumo huu," alisema Bw. Mwita.


Kwa upande wake, Afisa Biashara wa Halmashauri hiyo, Bw. Ruben Urassa, alimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri, Bi. Regina L. Bieda, kwa juhudi zake za kuhakikisha watumishi wanajengewa uwezo wa kutumia mifumo ya kisasa ya TEHAMA katika ukusanyaji wa kodi na mapato mengine.


"Hatua hii ya kutoa mafunzo ni ya kupongezwa kwani itawawezesha watumishi kuongeza maarifa na weledi katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku. Ni wazi kuwa matumizi ya mfumo wa TAUSI yatachangia kwa kiasi kikubwa katika kuongeza mapato ya halmashauri," alisema Bw. Urassa.


Mafunzo haya yanatarajiwa kuleta maboresho makubwa katika usimamizi wa mapato ya ndani ya halmashauri kwa kutumia teknolojia, sambamba na kuongeza uwajibikaji na uwazi kwa watumishi wa umma.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WASIMAMIZI NA MAKARANI October 06, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

    October 10, 2025
  • KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

    October 09, 2025
  • GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

    September 24, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OCTOBA 29, 2025.

    September 27, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.