• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WATAALAMU WA KILIMO NA MIFUGO KIBAHA DC WATEMBELEA WAKULIMA NA WAFUGAJI.

Posted on: September 18th, 2025


Timu ya Wataalamu wa Kilimo na Mifugo kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wawatembelea Wakulima na Wafugaji kata ya Magindu na Gwata.


Timu hiyo ya  imeongozwa na Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Bi Evelyne Ngwira Kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo.


Akizungumza katika kikao kazi na Wajumbe wa serikali ya Kijiji cha Lukenge  baada ya kupata fursa ya kutembelea  Shamba hilo Bi Evelyne Ngwira ametoa ufafanuzi juu ya Mradi wa shamba Lukenge.


Ngwira amesema shamba hilo Lina ukubwa wa Ekali 400 ambapo hadi Sasa Ekali 53 zimesafishwa Kwa gharama ya Mapato ya ndani ya Halmashauri.


Aidha  Ngwira ameishirikisha serikali ya Kijiji katika kujadili namna  ya uchimbaji wa visiki.


Ambapo wakubaliana kutumia Fedha iliyobaki Shillingi 1.3 Millioni  Kwa matumizi ya kuondoa  visiki katika shamba.


Kwa upande wa serikali ya Kijiji hicho chini Mwenyekiti ndugu John Kisukari Urembo ameiomba Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuwalimia ekali hizo 53 Kwa awamu ya kwanza kwani Wananchi Wengi hawana uwezo Wa kifedha ili kutimiza Malengo ya Mradi huo wa Block Farming Kwa haraka.


Sambamba na Wakulima hao pia wataalumu wa Mifugo chini Daktari wa Mifugo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Dkt Kulusi Patrick wameendesha zoezi la chanzo ya Mifugo ambapo takribani  Ng'ombe 706 wamepatiwa chanjo katika kata ya Gwata na Magindu.


Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha ilitoa Shillingi million 30  Kwa Serikali ya Kijiji cha Lukenge Kwa lengo la kusafisha shamba Hilo.


Ambapo  kampuni ya  LUMEKO ENGINEERING COMPANY ilishinda tenda hiyo na kusafisha eneo la Ekali 53 Kwa asilimia 90% ya mkataba .

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KWA WASIMAMIZI NA MAKARANI October 06, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBAHA DC YAISHUKURU SERIKALI KWA VISHIKWAMBI VYA MAAFISA MIFUGO.

    October 10, 2025
  • KIBAHA DC YAJIVUNIA USAJILI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI MWAKAMO RUVU

    October 09, 2025
  • GEOFREY KAZINDUKI ACHAGULIWA TENA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO MLANDIZI.

    September 24, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA OCTOBA 29, 2025.

    September 27, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.