• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA AZINDUA RASMI ZOEZI LA USAJILI NA KUWAPATIA WATOTO WOTE WENYE UMRI CHINI YA MIAKA MITANO VYETI VYA KUZALIWA

Posted on: December 10th, 2019

Mkurugenzi mtendaji akiwa na wataalam pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, amefanya uzinduzi wa zoezi la kuwasajili na kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano. 

Aidha mkurugenzi alieleza kuwa ikiwa ni siku ya nne tu toka zoezi kuanza tayari watoto walioandikishwa na kupatiwa vyeti walishafikia asilimia 44 ya lengo linalotarajiwa la asilimia 100. Alisisitiza kuwa ni lazima watoto wote wanaostahili waandikishwe.

Hata hivyo mkurugenzi pamoja na viongozi wengine waliohudhuria kwa ujumla walisisitiza mambo yafuatayo:-

1. Lazima kila mtoto anayestahili aandikishwe na kupatiwa cheti cha kuzaliwa

2. Zoezi hili ni bure kabisa hivyo asiwepo mtu yeyote atakayelipishwa fedha

3. Mtu yeyote atakayekiuka taratibu za zoezi hili atachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria

4. Wazazi/walezi wahakikishe wanavitunza vyeti vizuri hasa kwa kuweka "lamination" ili viweze kudumu kwa muda mrefu.

5. Kila mzazi/ mlezi akawe balozi wa mwenzake ili watoto wote waandikishwe.

6. Waliwashukuru na kuwapongeza RITA kwa kufanya mapinduzi makubwa katika kuwezesha zoezi la upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa urahisi na kwa wakati.

7. Waliwashukuru pia wadhamini wa zoezi hili wakiwemo UNICEF, kampuni ya Tigo nk.

Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji alimalizia kwa kuwashukuru wazazi na walezi wote walioitikia zoezi hili na akaahidi atasimamia kwa karibu ili kuhakikisha zoezi linakamilika kwa asilimia 100.



Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA, RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA MIZIGO SGR NA BANDARI KAVU MKOANI PWANl

    July 31, 2025
  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA: BANDARI KAVU, VIWANDA NA TRENI YA MIZIGO KUZINDULIWA NA RAIS SAMIA KESHO

    July 30, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.