• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mamba Wageuka Kero kwa Wananchi wa kilangalanga Kibaha Vijijini

Posted on: March 21st, 2019

Wimbi la Mamba katika ukanda wa mto Ruvu,kata ya Kilangalanga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wananadaiwa kuwa wengi hali inayojenga hofu kwa wananchi ambapo hadi sasa watu wawili wameshajeruhiwa na mamba hao. 
Aidha  wanyama waitwao Kiboko wanadaiwa kuvamia baadhi ya mashamba ya watu na kuharibu mazao ikiwemo mpunga. 
Akielezea tukio hilo, diwani wa kata ya Kilangalanga, Mwajuma Denge aliomba idara husika isikie kilio chao kwa kuvuna mamba badala ya kuwatega. 
"Mwezi wa kumi na mbili mwaka jana mmama mmoja alijeruhiwa mkono na mamba na alifikishwa Tumbi hospital ambako anatakiwa kiasi cha sh. 500,000 hadi sasa ili aweze kufanyiwa operesheni na matibabu zaidi "
"Wiki mbili zilizopita pia mama mwingine amejeruhiwa makalio na alikimbizwa kituo cha afya Mlandizi na alitibiwa kisha amehamishiwa hospital ya Tumbi anaendelea na matibabu hadi sasa. "alielezea Mwajuma. 
Mwajuma alisema kuwa, viboko nao ni kero nyingine wanaomba idara ya wanyamapori waende wakaangalie namna ya kuwadhibiti kwani hawajui wanapotokea. 
"Mbunge wa jimbo la Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa alichukua hatua na kufanya juhudi binafsi kupeleka watu wa maliasili ambao wanaendelea na jitihada zaidi." 
"Kutokana na mto kujaa na kuweka maji ya rangi ya tope wameshindwa kuwapata mamba hao, na wameacha zoezi hilo, watarudi baada ya wiki moja. "alielezea. 
Nae,  makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha,ambae pia ni diwani wa Kikongo Fatma Ngozi alisema tatizo hilo, lipo na kata zilizopita mto huo ikiwa ni sanjali na Dutumi, Mtongani, Kwala,na Kikongo .
Alifafanua, mamba waliwahi kuvunwa tangu miaka ya 90 hivyo wamejaa inabidi wapunguzwe. 

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.