• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Makala awataka Madiwani Kuwa na Taarifa za Miradi ya Maendeleo zinazotekelezwa kwenye kata zao

Posted on: February 14th, 2024

MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Erasto Makala amesema taarifa zote za miradi inayotekelezwa kwenye Halmashauri hiyo kila Diwani anatakiwa kuwa Nazo Ili kurahisisha ufuatiliaji

Makala ameyasema hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Februari 14 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo na kuhudhuria na Viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Saimon.

Amesema endapo kila Diwani atakuwa na taarifa za miradi itakuwa rahisi kwake kuhoji na kufuatilia utekelezaji wake Ili wananchi wanufaike nao kama ilivyo malengo ya ujenzi wake.

Kadhalika Mwenyekiti huyo aliwaelekeza wataalqmu wa Halmashauri hiyo kuongeza Kasi kwenye ukusanyaji wa mapato ambayo yatasaidia kutekeleza miradi ya Maendeleo na kuondoa Changamoto kwa wananchi.

Alitaka pia wataalqmu hao kufanya kazi zao kwa kuzingatia miongozo Ili kuepuka uzaliwhaji wa hoja za ukaguzi.

Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Regina Bieda alishauri Madiwani kuhamasiaha nguvu za wananchi kwenye utekelezaji wa miradi ya Maendeleo sambamba na kuisimamamia.

Akizungumzia suala la Wananchi waliokuwa wakilima katika eneo la kongani ya viwanda Mkurugenzi huyo alisema waliotakiwa kupewa maeneo mbadala wanafahamika na wataalamu wataendelea na utaratibu Ili waweze kupata sehemu za kuendesha shughuli zao.

Alisema lipo eneo la ekari 1000 lilitolewa na Rais na hivyo wananchi waliokuwa wakilima katika eneo la kongani ya viwanda ambalo ilnamilikiwa na Kampuni ya Kamaka ni miongoni mwa watakaopata maeneo mbadala ya kuendelea na shughuli zao kwa utaratibu utakaosimamiwa na wataalamu kutoka Idara ya arshi.

Bieda pia aliwataka Wataalqmu wa Taasisi wezeshi zinazotoa huduma katika Halmashauri hiyo kuhakikisha wanatembelea kwa kila kata na kusikiliza kero zilizopo Ili waweze kuzitafutia ufumbuzi wa haraka.

Alisema baada ya kufanya hivyo watalazimika kuleta mrejesho kwenye Baraza la Madiwani na kwa kutumia utaratibu huo watapunguza Changamoto za wananchi ambazo zinakosa utatuzi.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Vijijini ....amewasisitiza Madiwani kuwa na ushirikiano na wakuu wa Idara sambamba na kuhakikisha miradi kwenye maeneo yao inakamilika kwa wakati.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.