• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Madiwani wa Halmashauri ya Kibaha Wameliomba jeshi la Polisi Kuchukua Hatua kwa Watu Wanaojihusisha na Biashara ya Ngono

Posted on: June 8th, 2022

Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wameliomba  Jeshi la Polisi kuchukua hatua kwa watu wanaojihusisha na biashara ya ngono ambayo inahatarisha mmomonyoko wa maadili kwa vijana wa wilaya hiyo

Akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Erasto Makala alisema biashara hiyo haramu inavunja utu wa Mtanzania hivyo hatua za kisheria zinatakiwa kuchukuliwa mapema kabla haijashamiri.

"Kupitia kikao cha Baraza hili tunaagiza hatua kali za kisheria zichukuliwe kwa wale wanaojihusisha na biashara hii , maeneo yanayotajwa kwenye wilaya yetu wahusika wadhibitiwe kwani inaenda kinyume na maadili yetu" alisema Makala.

Aidha alitaka wamiliki wa baa zinazodaiwa kuwa na watu wanaofanya biashara hiyo kuitwa na kuonywa lakini pia ellimu itolewe kwa vijana kuelezwa kuwa biashara hiyo inachangia maambukizi ya virusi vya ukimwi

Diwani Viti maalumu Halmashauri hiyo Josephine Gunda alisema wahusika wa biashara hiyo kwasasa wamehamia vijijini ambako wanatawanyika katika maeneo mbalimbali.

" Kuna maeneo ya vilabu ambayo pia watu wanauza sigara, bangi wapo wadada wanatumika kwa huduma za chap chap wanaenda kutuharibia watoto na mmomonyoko wa maadili kwa vijana wetu unaenda kutokea endapo hatua hazitachukuliwa mapema.

"Mchana wanashinda  wamelala kuanzia saa 12 wanaanza biashara hiyo makubaliano yanafanyika hadharani wakati watoto wetu wanakuwa bado wanaenda dukani hii ni hatari sheria zichukuliwe haraka" alisema

Madiwani wengine walichangia hoja hiyo kwa kusema kuwa endapo udhibiti hautafanyika mapema biashara hiyo itasababishia kupoteza vijana ambao ni nguvu kazi

Kupitia Baraza hilo Wazazi wamekumbushwa kutumia muda kukaa na watoto wao kwa kuwafundisha masuala ya makuzi na kuwaeleza kuhusiana na mambo ambayo hayana afya kwenye jamii na namna ya kuyaepuka lakini pia madhara yake endapo watajiingiza huko.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.