• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WANAWAKE WA KIBAHA WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAA KWA WAZEE WENYE UHITAJI

Posted on: March 5th, 2024

MKUU  wa wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson Simon amewapongeza wanawake wa  Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa kufanikisha kutoa msaada wa vyakula na mahitaji mbalimbali kwa wazee wa Halmashauri ya Wilaya hiyo.


Nickson ametoa pongezi hizo leo Machi 5, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye  ukumbi wa wazee Mlandizi alipoongoza kutoa msaada kwa wazee wa Halmashauri hiyo wanaoishi kwenye mazingira magumu.


Akizungumza kwenye Hafla hiyo Nickson amewapongeza wazee hao kwa kufika umri walionao huku akisema uzee ni daraja lenye medali ya  juu huku akitoa wito jamii kuendelea kusaidia wazee wenye uhitaji katika maeneo yao


Nickson amesema Serikali ipo bega kwa bega na wazee kupitia programu ya kusaidia kaya maskini ambazo asilimia kubwa ni wazee.


Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Regina Bieda amewaambia wazee hao kuwa Serikali inawatambua na inajua wamefanya kazi kubwa hivyo wanapokutana na changamoto wasisite kuwasiliana na ofisi yake.


Akizungumza kwa niaba ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Roseline Kimaro amesema wazee ni kundi linalosahaulika na kwa mwaka huu kuelekea kielele cha siku ya wanawake duniani wanawake wa wilaya zote za mkoa huo wamejipanga kuwahudumia wazee kwa kuwapa mahitaji muhimu.


Rose amesema wadau mbalimbali walishirikishwa zikiwemo taasis za Serikali na wanajamii kupata mahitaji hayo ikiwemo unga,maharage, sukari, mafuta ya kupikia, sabuni za unga na mche, dawa za meno na mahitaji mengine.


Wanawake hao wamejipanga kuwafikia wazee 76 lakini kutokana na muitikio wa wadau wameweza kuwafikia wazee 96 kwa Halmashauri hiyo.


 '' Wekeza kwa Wanawake : Kuharakisha Maendeleo ya Taifa na Ustawi wa Jamii''


Akitoa shukrani baada ya kupokea misaada hiyo mmoja wa wazee hao Tukae Mzee Ramadhani amewashukuru wanawake hao kwa kujitolea misaada hiyo na muda wao huku akiwaombea kwa Mungu awafanukishe kwenye kazi zao za kila siku na kuwaomba waendelee kuwakumbuka wazee mara kwa mara.


Kauli mbiu ya wazee hao ni " wazee walikuwepo , tupo, wataendelea kuwepo kazi iendelee"

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.