• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kibaha yaadhimisha siku ya upandaji miti kwa kupanda miti shule ya Sekondari Kikongo

Posted on: March 27th, 2024

KATIBU Tawala wa wilaya hiyo Moses Mwagogwa ameitaka jamii kurithisha  misitu kwa kizazi kijacho kama wao walivyorithishwa.huku akisisitiza wananchi kuwa wabunifu kuendana na kauli mbinu ya " misitu na ubunifu" .


Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson Simon kwenye siku ya upandaji miti kitaifa Moses amesema endapo Wazazi watajenga tabia ya kurithisha watoto wao upandaji miti itasaidia misitu kuwa endelevu


 Alisema kwa kuwa miti hiyo imepandwa shuleni itakuwa na uangalizi wa waalimu na wanafuzi.


Aidha Moses alisema kutokana na Kibaha kuwa karibu na jiji la Dar es salaam ambalo linauhitaji mkubwa wa mkaa na kuni kama Wilaya wameandika andiko kwenda serikali kuu kwa ajili ya kuongeza mitungi ya gas na kutoa ruzuku kwa gas kwani Jiji hilo likipata nishati mbadala uharibifu unaofanyika Kibaha hautaendelea.


Miche 1500 imepandwa  katika shule ya sekondari Kikongo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kuadhimisha siku ya upandaji miti kitaifa.


Kaimu mkuu wa kitengo cha maliasili na hifadhi ya mazingira Theodory Kavishe amesema wanatarajia kupanda miche 210,000 ikiwa miche 150,000 itatoka kwenye vitalu vya Halmashauri  na miche 60,000 itatoka kwa wakala wa huduma za misitu.


Kavishe amesema lengo la kupanda miti hiyo ni kukabiliana  na ongezeko la ukataji na ufyekaji wa misitu katika wilaya hiyo unaosababishwa na ongezeko la watu katika jiji la Dar es salaam na hivyo kuongezeka kwa uhitaji wa mkaa na kuni.


Akitoa salaam za chama tawala Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Kibaha Kanusu Mkali ameipongeza Halmashauri kwa kushirikiana na TFS kwa juhudi zao za kuzalisha miche ya kutosha na kuisambaza kwenye taasisi mbalimbali.


Pia Kanusu amezitaka taasisi zilizopo Kibaha kupanda miti ya matunda na mbao ili iwe na manufaa kwao baadae


 Nae Pso Feruzi  Kiula kwa niba ya kamishana wa  Uhifadhi Kanda ya Mashariki amesema jukumu  walilopewa ni kusimamia raslimali misitu na nyuki kuhakikisha inashamiri kwa kusimamia misingi endelevu na walichofanya  ni kuhakikisha raslimali hiyo nakuwepo kwa njia endelevu.


Kiula  ameongeza kuwa ili baadae wananchi wasiwe wakimbizi wa mazingira ni wajibu wao kupanda miti na kuitunza.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.