• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kibaha Dc Imekabidhiwa Matrekta Matatu

Posted on: January 26th, 2024

MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge amesema Mkoa huo umeanza kutimiza adhma ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan ya Tanzania kuilisha dunia kwa kwa kukabidhi matrekta kwa wakulima wanaofanya kilimo cha pamoja.


Kunenge ameyasema hayo leo wakati akikabidhi matrekta matatu kwa mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson John yaliyotolewa na serikali kwa ajili ya wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.


Amesema kuwa Mkoa umeweka utaratibu wa kuhakikisha mabadiliko ya haraka yanaonekana na kuunga azma ya Rais ya kulisha nchi jirani na dunia ambapo ameonyesha nia ya dhati kwa kuweka mazingira mazuri ikiwa ni pamoja na kuweka wataalamu, vitendea kazi na vifaa kwa ajili ya kupitia udongo.


Aidha amipongeza Wilaya ya Kibaha kutenga eneo lenye ukubwa wa hekari 1,650 kwa ajili ya kilimo cha pamoja  cha mazao ya kilimo biashara na kuunganisha kilimo na viwanda kwa ajili ya kutoa ajira na kwa upande kilimo kiungane na uchumi wa buluu kupitia uvuvi na mifugo ambapo milioni zaidi ya 500 zimetolewa kwa ajili ya ranchi ndogo.


Naye Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Nickson John amesema     wameanzisha kilimo cha pamoja ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kuwaunganisha vijana kwenye kilimo badala ya kuchoma mkaa.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Erasto Makala ameishikuru Serikali kwa kuipatia Halmashauri Trekta hizo na amesema kuwa matrekta hayo yatachagiza wakulima kulima kwenye kilimo cha kibiashara.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA, RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA MIZIGO SGR NA BANDARI KAVU MKOANI PWANl

    July 31, 2025
  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA: BANDARI KAVU, VIWANDA NA TRENI YA MIZIGO KUZINDULIWA NA RAIS SAMIA KESHO

    July 30, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.