• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BILIONI 34.9 ZAPITISHWA KAMA MAKSIO YA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

Posted on: February 8th, 2024

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha limepitisha makisio ya mpango wa bajeti ya mwaka 2024/2025 sh. Biln 34,978,678,327.00 ambazo zinatarajiwa kukusanywa na kutumika kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli mbalimbali za kiuchumi na kijamii.


Kati ya fedha hizo sh. Biln 2.5  ni makusanyo ya ndani vyanzo visivyo na masharti, sh. Biln 1.5 makusanyo yatokanayo na vyanzo lindwa , sh.19,734,682,800.00 ni Mishahara ya Watumishi, sh. Biln.1,572,138,000.00 ni matumizi ya kawaida na sh. Biln 10,316,007,611.00 ni miradi ya maendeleo.


 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Erasto Makala amesema kati ya fedha hizo  sh.Biln  1,035,846,611.00 ni kupitia fedha za mapato ya ndani, sh. Biln  5,915,862,000.00 ni fedha za miradi za ndani (Serikali kuu) na Tshs. 3,364,299,000.00 fedha za wahisani).


Makala amesema Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025 umeandaliwa kwa kuzingatia Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano awamu ya pili unaolenga Uchumi wa Viwanda, Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2020, Sheria ya Bajeti sura 439 na kanuni zake na Masuala yaliyosisitizwa katika mwongozo wa Mpango na Bajeti ya mwaka 2024/2025 ikiwa ni pamoja na kutenga asilimia 40 ya mapato ya nadani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo na asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya kuwezesha vikundi vya wanawake,vijana na watu wenye ulemavu.


Sambamba na maelekezo Halmashauri  imetenga fedha  kwa ajili ya Lishe, shughuli za ustawi wa jamii, ukamilishaji wa miradi viporo na fedha kwa ajili ya  miradi yakuongeza mapato ya Halmashauri kupitia fedha za mapato.


Mwenyekiti wa Halmashauri Erasto Makala amesema katika kipindi cha  mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha ilikadiria kukusanya jumla ya sh.. 33,520,944,664.00 kutoka katika vyanzo mbalimbali vya Halmashauri.


Aidha, alieleza kuwa hadi kufikia Disemba 31, 2023 jumla ya sh. Biln 16,826,756,099.58 zimekusanywa sawa na asilimia 50 ya makisio ya mwaka.


Amesema Mafanikio yaliyopatikana yametokana na  uwajibikaji na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Watumishi na Uongozi wa Halmashauri, kufanya ziara shirikishi za ufuatiliaji na utekelezaji wa maazimio yamewezesha kukusanya vizuri mapato ya Halmashauri.


Awali Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Edward Masona alisema watahakikiaha wanaimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani kwa kutenga fedha na kupeleka kwenye miradi ya maendeleo..


Masona amesema bajeti hiyo imezingatia dira ya Maendeleo ya Taifa, ilani ya Uchaguzi Mkuu na masuala yaliyosusitizwa katika mwongozo wa mpango wa bajeti.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.