• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mazingira na Usafishaji

 

Majukumu ya Kitengo cha Usafishaji Na Mazingira 

Idara ya Usafishaji inatekeleza majukumu yafuatayo;

  • Shughuli za usafi wa majengo.
  • Usafi wa maeneo ya wazi.
  • Usafi wa barabara.
  • Usafi wa mifereji.
  • Usafishaji, uchambuaji na utupaji taka kisasa (Sanitary Land fill-Dampo).

Utekelezaji Usafishaji Na Mazingira 

Idara ya Usafishaji ina shughuli za usafi wa majengo; usafi wa maeneo ya wazi; barabara; na mifereji, usafishaji uchambuaji na utupaji taka kisasa (Sanitary Land fill-Dampo).

6.3.1: Uzoaji wa taka ngumu

Katika Mamlaka ya Mji  Mdogo wa Mlandizi taka ngumu hukusanywa na Kikosi Kazi (GEOBEST) kwa kushirikiana na vibarua wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha katika maeneo ya Kata ya Mlandinzi; Kilangalanga, Mtambani na Janga kwa kufagia, kukusanya, kuzoa  na kutupa dampo la muda lililopo eneo la Disunyara. Kata zingine zilizo pembezoni mwa mji mdogo wa Mlandizi jamii hufagia na kukusanya taka yenyewe na kutupa kwenye mashimo ya takataka kwani miundombinu ya kata hii hali inaruhusu kufanya hivyo. Halmashauri inalo trekta kwa ajili ya uzoaji taka lenye ukubwa wa tani 4 na wakati mwingine trekta linaposhindwa kuifikia mitaa yote kwa ajili ya uzoaji halmashauri kukodi  magari mara mbili (2) kila wiki kwa ajili ya kuondoa taka ngumu ambazo hazikufikiwa na trekta. Mlandizi inazalisha takribani tani 24 za taka ngumu kila siku. Na Trekta lina uwezo wa kusomba tani 12 tu za taka ngumu kwa siku.

Pia shughuli za usafi na ukaguzi wa majengo hufanywa na maafisa katika kata zao na maeneo mengine waliopangiwa. Kampeni ya Usafi wa Mazingira huwa ikifanyika siku ya alhamisi ya kila mwisho wa mwezi, Halmashauri yetu imeiteua siku hiyo kuwa ni siku pekee ya kufanya Usafi wa Mazingira katika makazi, barabarani na taasisi mbalimbali na maeneo mengine ya wazi Kwa kushirikiana na Watendaji/wataalamu, viongozi na wananchi. Siku ya usafi wa mazingira katika halmashauri ya Kibaha ilizinduliwa rasmi tarehe 26/03/2015 ili kuifanya jamii iweze kubadili tabia mbaya ya uchafuzi wa mazingira na kuwa na tabia ya ustaarabu wa utunzaji wa mazingira na kutambua kwamba jukumu la usafi wa mazingira sio la idara husika ila ni la jamii nzima.

6.3.2: Upande Wa Utunzaji Mazingira

Idara imefanya shughuli za udhibiti wa uchafuzi wa ardhi, maji, hewa, na sauti. Utunzaji na upendezeshaji mazingira unaohusiana na kupanda miti na maua, kukatia miti na majani pia usimamizi wa ufuatiliaji wa tathimini ya athari za mazingira katika shughuli mbalimali za maendeleo.

6.3.3: Mafanikio Ya Usafi Wa Mazingira

  • Kutoa elimu shirikishi ya usafi wa Mazingira kwa kata zote za halmashauri ya Kibaha.
  • Tumezoa taka ngumu zilikusanywa Kwa asilimia75 na kutupwa dampo katika hali ya usalama.
  • Kuhamasihaji Jamii na kufanya mikutano 13 na wenyeviti wa vitongoji /mitaa kuhusu uhifadhi, usafishaji na utunzaji wa mazingira.

.

6.3.4: Changamoto

  • Ufinyu wa bajeti ambao husababisha baadhi ya mipango kushindwa kutekelezeka.
  • Upungufu mkubwa wa watumishi wa idara ya usafishaji na mazingira.
  • Tani 220 hazikuweza kuzolewa kwa sababu ya ubovu wa miundombinu ya taka.

6.3.5: Utatuzi Wa Changamoto

Kwa upande wa ufinyu wa bajeti halmashauri hutumia vyanzo vyake vya mapato ya ndani ili kukabiliana na changamoto hiyo. Idara hutumia watumishi wa idara ya afya na ustawi wa jamii pamoja na watumishi wa misitu ili kukabiliana na tatizo la upungufu mkubwa wa watumishi uliopo katika idara.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.