• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

Posted on: March 23rd, 2025

Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Leo 27,Machi 2025. imetole elimu ya Lishe juu ya bidhaa za vyakula kwa Wajasiriamali na kwa watu wenye ulemavu wa kata ya Janga.


Evelyn Ngwila Mkuu wa Idara ya Kilimo, mifugo na uvuvi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha amewataka wajasiriamali kutumia mbinu salama ya Usindikaji wa vyakula ili kulinda na kuimarisha Afya za walaji.


Akizungumza Kwenye mafunzo hayo ameelekeza zaidi namna ya Usindikaji wa mboga mboga na matunda, kwa maneno na vitendo kwa kutumia kifaa maalumu cha kusindikia vyakula ambacho kimerahisisha zoezi la Usindikaji wa  vyakula.


Nae Afisa Lishe Coletha Chapile ametoa wito kwa Wajasiriamali wanao jishughulisha na bidhaa za vyakula kuzingatia hali ya usafi wa vyombo na mazingira katika maandalizi ya bidhaa zao ili kulinda Afya za wateja wa bidhaa hizo.


Vilevile Johanes Katunzi Afisa biashara alipata fursa ya kutoa ushauri kwa Wajasiriamali  kuhakikisha kuwa bidhaa zote zinakua na ubora,zinafungwa katika vifungashio sahihi ili kukuza masoko  ndani na nje ya mipaka ya nchi.


Pia alisisitiza wafanyabiashara kuwa na Leseni ya biashara nakufuta kanuni na sheria za umiliki wa biashara ili kufanya biashara kwa uhuru.


Zuhura juma moja ya wajasiliamali amepongeza wataalamu wote wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha kwakutoa elimu hiyo kwani imewapa mbinu mpya za utunzaji wa vyakula na itapunguza utupaji pamoja uozeshaji wa vyakula majumbani.



 Hivyo mafunzo hayo yalihitimishwa na Afisa maendeleo ya jamii Pudenciana Domel Kwa kuwatia moyo wajasiriamali wote hasa wenye ulemavu kutokata tamaa na kufanya kazi kwabii kwani Serikali itazidi kuwapa mikopo rahisi ya asilimia Kumi(10%)  isiyo na riba ili kukuza biashara zao.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • ELIMU YA USALAMA BARABARANI YATOLEWA KWA MADEREVA NA WATUMISHI WA UMMA KIBAHA DC

    May 13, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.