• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

Posted on: April 2nd, 2025

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Isdor Mpango amezindia mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa huku aliwataka wakimbiza Mwenge kufichua vitendo vya udhalimu na ubadhilifu wa fedha na mali za Umma bila woga.


Dk. Mpango aliyasema hayo jana alipoongoza wananchi katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani.


Pia alitoa maagizo kwa viongozi wa mikoa yote hapa nchini kutoa ushirikiano kwa wakimbiza Mwenge Kitaifa kuwafikia wananchi katika miradi yote iliyolengwa kutembelewa, kuzinduliwa na kuwekewa mawe ya Msingi.


Kadhalika Dk. Mpango alisema kutokana na kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru wa mwaka huu 'kisositiza kujitokeza kushiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka huu aliwataka Watanzania kushiriki haki yao ya kikatiba ya kushiriki uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu'.


" Napenda kuwahakikishia kuwa katika uchaguzi Mkuu  Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar tutaendelea kusimamia kwa dhati misingi ya Demokrasia kuhakikisha kuwa wananchi  wanatumia hali yao ya kikatiba kushiriki uchaguzi kwa Uhuru kwa wagombea nafasi mbalimbali za uongozi, " alisema.


Awali akimkaribWaziri Mkuu Kassimu Majaliwa akizungumza katika uzinduzi huo alisema kauli mbiu ya mbio za Mwenge wa Uhuru imewekwa kuhamasisha kila mwananchi kushiriki uchaguzi Mkuu kwa utulivu' na amani.


Majaliwa alisema amani ndio Msingi wa maendeleo na kwamba bila amani hakuna nafasi ya kujenga Taifa


"Nina matumaini makubwa kwamba vijana waliopewa jukumu hili la kukimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa watalifanya kwa ufanisi na kwa weledi  maana wamepatiwa mafunzo hivyo niwatake wakalifanye kikamilifu"alisema


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete alisema Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika mikoa 31 kwa Halmashauri 195


Ridhiwani alisema Mwenge wa Uhuru umeendelea kuwa chachu ya maendeleo kutokana na kukagua, kuzindua na kuweka miradi mbalimbali ya Maendeleo hapa nchini.


Alisema umuhimu wa ujumbe wabio za Mwenge wa mwaka huu 'ajitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 kwa amani na utulivu' unaendeleza demokrasia ambayo ndio Msingi mkubwa wa Taifa.


Ridhiwani alisema Mwenge wa Uhuru umeendelea na falsafa ya kumulikwa ndani na nje ya Taifa kwa kumulika uovu ndani ya Jamii ikiwemo uzembe, kutowajibika , vitendo vya rushwa na ufisadi katika miradi mbalimbali ya Maendeleo.


Akitoa salamu za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa pili wa Rqis (Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi) Hamza Juma alisema Mwenge wa Uhuru ni miongoni mwa tunu  muhimu za historia  za Muungano wa Tanzania na unastahili kuenziwa.


Hamza alisema Mwenge wa Uhuru ni tunu waliyoachiwa na Watanzania na kwamba tunu hiyo iliasisiwa na Waasisi wa Muungano na itaendelezwa kwa manufaa ya wananchi


Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge akizungumza katika uzinduzi huo alisema Uwekezaji katika Mkoa huo umeendelea kukua katika viwanda vikubwa na kuleta maendeleo kwa mkoa huo.


Kunenge alisema kwa sasa Mkoa huo una viwanda 1535 huku vikubwa vikiwa 128 kati ya hivyo viwanda vikubwa 78 vikiwa vimejengwa katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya sita.


Mkuu huyo wa Mkoa alisema Mwenge wa Uhuru kwa Mkoa wa Pwani utakimbizwa katika Km zaidi ya 1300 na utaifikia miradi 64 yenye thamani ya sh. Trillion 1.28.


Mwisho.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • ELIMU YA USALAMA BARABARANI YATOLEWA KWA MADEREVA NA WATUMISHI WA UMMA KIBAHA DC

    May 13, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.