Wafanyakazi wa Bayport wamekabidhi compyuta mbili mpya kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa kudhihirisha kuwa wao ni wadau wa maendeleo. Tunawashukuru Bayport kwa kuona umuhimu wa swala zima la mabadiliko ya Teknolojia. Tunawakaribisha wadau wengine wa maendeleo waiwezeshe Halmashauri yetu kwani kutokana na mabadiliko ya Teknolojia kompyuta zinahitajika za kutosha kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa kazi.
KIBAHA DISTRICT COUNCIL
Anwani ya Posta: P.O BOX 30153
Simu ya Mezani: +255 23240224
Simu: +255 0767520048
Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz
Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.