• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

ZIARA YA PRINCES SOFIE MKE WA MTOTO WA MALKIA WA UINGEREZA ,KITUO CHA AFYA MLANDIZI

Posted on: September 18th, 2024


Waziri wa afya Jenista Muhagama Leo Stember 18 amefanya ziara katika kituo cha afya cha Mlandizi, kilichopo  hamlamashauri ya wilaya ya kibaha mkoani Pwani.

Muhagama pamoja na wageni kutoka serikali ya Uingereza wamepata fursa ya kujionea  huduma zinazotolewa  katika kituo  hicho cha afya .

 Aidha waziri Muhagama ameishukuru serikali ya awamu ya sita pamoja na taasisi ya Singhtsavers ambayo makao yake makuu yapo uingereza.
Taasisi hiyo ya sightsaver imeanzisha mradi maalum wa  kudhibiti  ugonjwa wa Trachoma pamoja na kutoa huduma ya upasuaji na matibabu mbalimbali  ya macho katika kituo hicho cha afya.

 Mhe. Muhagama amewataka wananchi wa Tanzania kushirikiana na serikali wanapo ona kunadalili zozote za ugonjwa trachoma katika jamii zao na wahanga wahimizwe  kwenda hospitali kupata matibabu ili kuepukana na maambukizi yanayoweza kusababisha  upofu wa macho.

Naye Mkurugenzi mkazi wa taasisi ya Sightsaver Tanzania Godwin  Kabalika, ameeliza  kuwa kulingana na ushirikiano ulipo kati ya Tanzania na Uingereza utasaidia sana nchi ya Tanzania kutokomeza ugonjwa wa Trachoma pamoja na magonjwa mengine yanayo ikabili nchi yetu.

Mkurugenzi huyo alitumia fursa kuwaasa wauguzi kutoa elimu kwa wananchi juu ya ugonjwa huo, ili kupunguza idadi ya wagonjwa wa macho.kwani Tanzania bila Trachoma inawezeka

Kwaupande wake  tabibu wa upasuaji wa macho(Trachoma Trichiasis Surgeon) kutoka kituo cha afya mlandizi Azaria Athumani,anasema wananchi wanapaswa kuondoa hofu na kujitokeza kwa wingi kupata matibabu ya ugonjwa wa trachoma kwani unatibika kwa muda mfupi sana.

 Zuberi Mohammed ni miongini mwa wagonjwa wa macho waliopata huduma ya macho katika kituo cha afya mlandizi na amemshukuru Rais Dkt. Samia Hassan Suluhu Kwa kujali na kuzingatia wananchi wake hasa rika la wazee kwa kupatiwa matibabu bora.

Ziara hiyo ya Waziri wa afya Jenister Muhagana ili ambatana na Mke wa mtoto wa malkia wa Uingereza Princes  Sofie, balazi wa uingereza nchini Tanzania Marriane Young, naibu katibu mkuu kutoka wizara ya afya Ismail Rumatila, pamoja na watumishi kutoka taasisi mbalimbali.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • WWF YAKABIDHI MICHE YA MICHIKICHI KUHIFADHI KINGO ZA MTO RUVU

    May 24, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.