• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI WALIOCHAGULIWA WAAPISHWA LEO TAREHE 28/11/2019

Posted on: November 28th, 2019

Leo tarehe 28/11/2019 wenyeviti wa vijiji 26 na wenyeviti wa vitongoji 102 wameapishwa rasmi na Mhe. Nabwike Mbaba ambaye ni Hakimu mfawidhi, wakati wa kiapo hicho hakimu huyo aliwasisitiza viongozi hao kuzingatia sheria na taratibu za kazi katika kipindi chote cha utendaji wao. Hata hivyo aliwasisitiza zaidi kuhakikisha wanatenda haki kwa wananchi waliowachagua.

Aidha katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mama Ndesi ulioko katika mamlaka ya Mji Mdogo wa Mlandizi, walihudhuria viongozi mbalimbali akiwemo Mhe. Hamood Jumaa (Mbunge wa jimbo la Kibaha Vijijini), Mhe. Mansour Kisebengo (Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha), Ndg. Ndalahwa Nuru Butamo ( Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha) pamoja na vyombo vya Ulinzi na Usalama.

Viongozi wote hao waliwasihi viongozi waliochaguliwa kuzingatia mambo ya msingi yafuatayo:-

1. Kuzingatia sheria na taratibu katika uongozi wao

2. Wawe waaminifu na waadilifu

3. Wawe wabunifu hasa upande wa uibuaji wa Miradi ya maendeleo.

4. Wahakikishe wanaendana na kasi ya Mhe. Rais ya Tanzania ya Viwanda.

5. Wahakikishe wanatatua kero zote za wananchi kwa wakati.

6.  Watatue migogoro ya Wakulima na Wafugaji iliyopo katika maeneo yao.

7. Washirikiane katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuongeza ufanisi wa kazi.

8. Wakubali kukosolewa kwani kuwa viongozi haimaanishi wanajua kila jambo.

Hata hivyo Viongozi hao waliahidi kulipa fadhila zao kwa kuwatumikia Wananchi kwa uwezo wao wote.

Mada mbalimbali zilitolewa na wataalam wa Idara ya Afya ,  Utumishi  na Utawala bora na Ardhi. 

 Kwa hakika Viongozi hawa wameandaliwa vyema kwenda kuwatumikia wananchi. 

Mungu ibariki Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mungu ibariki Tanzania.


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • WWF YAKABIDHI MICHE YA MICHIKICHI KUHIFADHI KINGO ZA MTO RUVU

    May 24, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.