• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WAZEE WA HALMSHAURI YA WILAYA YA KIBAHA WAMEISHUKURU SERIKALI KWA KUBORESHA HUDUMA ZA KIJAMII

Posted on: December 6th, 2022

Kabla ya Uhuru katika eneo letu la Mlandizi Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha tulikuwa tunatembea km 36 kwenda shule tofauti na ilivyo sasa lakini pia usafiri wa kwenda Dar es Salaam ilikuwa lazima tupande treni" alisema Mohamed Pongwe.

Mohamed Pongwe ni kati ya wazee wakongwe wanaoishi katika mji mdogo  wa Mlandizi ambaye alihamia hapo tangu mwaka 1956.

Akizungumza  jana mjini Mlandizi kuhusiana na mabadiliko ya kimaendeleo kabla ya Uhuru na hali ilivyo sasa ambapo alisema pamoja na kutokamilika kwa mahitaji kama inavyotakiwa lakini yapo ambayo wanaweza kuyaelezea.

Pongwe alieleza kuwa waliobahatika kusoma wengi wao walikuwa wakitembea umbali wa km 36 kwenda kupata huduma ya elimu katika shule ya msingi iliyokuwa katika eneo la Mzenga.

Pongwe anasema kwa sasa shule zimetapakaa watoto hawatembei umbali mrefu kupata huduma tena anasema elimu inatolewa bure watoto wanatakiwa kuvaa unifomu madawati wanayakuta shuleni bila gharama.

"Hata ukitaka kwenda Mkoa wa Dar es Salam tulikuwa tunatumia treni unatembea kutoka Mlandizi hadi Ruvu stesheni kusubiri treni hakukuwa na barabara zaidi ya njia ya kusafirisha watumwa iliyokuwa inaenda Bagamoyo" aliongeza.

“ Huduma za kijamiii zimeimarika kwani hospitali zimejengwa kila kona mfano kituo cha afya Mlandizi huduma zinazotolewa utadhani ni hospitali kubwa kwani huduma zote zinapatikana  tena tumeletewa hospitali ya wilaya tunaishukuru sana serikali yetu kwa kweli mabadiliko ni makubwa sana “ Alisema Pongwe

 Pia Pongwe Aliiomba Serikali kuwatengenezea mazingira ya kilimo cha umwagiliaji ambacho wanakuona kitakuwa na tija kwao.

Omari Hassani mkazi wa Mlandizi ambaye alisema alihamia katika Halmashauri hiyo tangu mwaka 1938 alisema yapo mabadiliko makubwa yamefanyika tangu uhuru .

Hassani alisema Serikali imeleta mabadiliko hususan kwenye huduma za afya ambapo wazee wana dirisha maalumu la kupata huduma jambo ambalo halikuwepo awali.

Pia Hospitali zimeboreshwa madawa yanapatikana aliishukuru Serikali kwa kuwaletea hospitali ya wilaya kwani anaamini huduma zote muhimu zitapatikana

“Tangu uhuru hatukuwa na Hospitali ya Wilaya tulikuwa tunatibiwa kwenye Zahanati na Vituo vya afya huduma nyingi tulikuwa tunaambiwa tuzifuate Tumbi lakini saivi serikali yetu imetuletea hospitali kwa kweli sisi wazee tunafurahi sana tunaishukuru serikali yetu kwa kutujali sisi wananchi wake” alisema Hassan

Wazee wengine katika eneo la Mlandizi walimshukuru Mhe. Dk.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa namna alivyoboresha  huduma za kijamii  hali inayoleta hamasa kwa wanafunzi kusoma kwa bidii kutokana na mazingira mazuri ya kujisomea yaliyopo.

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa La Saba 2022 December 02, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili June 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KIBAHA DC TAREHE 29-07-2022 July 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 27, 2022
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Kamati ya Siasa ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Imefanya Ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo

    January 27, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya kibaha Inaendesha Kampeni ya Siku ya Utoaji wa Chanjo ya Polio

    November 23, 2022
  • Shule 10n Bora Kiwilaya Wakabidhiwa Vyeti vya Pongezi na Zawadi

    March 17, 2023
  • Mkuu wa wilaya ya Kibaha Akabidhiwa Ofisi Rasmi .

    January 30, 2023
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.