• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Wa Soga na Boko Mnemela Waipongeza Serikali kwa Kuwasogezea HUduma za Afya Karibu na Makazi

Posted on: April 9th, 2021

 WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KWA KUWASOGEZEA HUDUMA ZA AFYA KARIBU NA MAKAZI.

Wananchi  wa Kata za Boko Mnemela na Soga wameipongeza Serikali kwa kuwaunga  mkono juhudi zao za kusogeza  huduma za afya karibu na makazi yao.

Hayo yamesemwa  wakati ya ziara ya kamati ya Fedha na mipango ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa  kwa nguvu za wananchi kwa madhumuni ya kuwaongezea nguvu katika kumalizia miradi hiyo.

Kamati hiyo ilitembelea ujenzi wa Zahanati ya Mpiji,Kipangege , Msufini na Ruvu Station.

Akiwasilisha taarifa ya ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Mpiji Afisa mtendaji wa Kijiji hicho alisema walianza mchakato wa wa ujenzi wa zahanati mwaka 2019 baada ya wajumbe wa serikali ya Kijiji kuibua mradi huo wa Zahanati ambao hadi kukamilika utagharimu kiasi cha milioni mia moja.

Wananchi wa kijiji cha mpiji wamefanikiwa kujenga zahanati hiyo hadi kufikia hatua ya boma kwa shilingi milioni thelathini na tatu . kwa kuunga juhudi zao hizo serikali kuu imetoa shilingi milioni hamsini kwa ajili ya kumalizia ujenzi huo.

Akiongea wakati wa ziara hiyo diwani ya kata ya Bokomnemela  MhePaul Maguhwa amesema anaishukuru sana serikali kwa kuona juhudi za wananchi na kuwaunga mkono kwani wananchi watapata moyo wa kuendelea kuchangia maendeleo kwenye  vijiji vyao.

Aidha wanachi wa kijiji cha kipangeje wameishukuru Serikali kwa kuunga mkono jitihadi zao za ujenzi wa zahanati ya kijiji kwani walikuwa wanapatashida sana za kufata huduma za afya katika kijiji cha Soga.

”wananchi wa Kipangege  tunapata shida sana ya Zahanati mimi nimemwambia mke wangu asizae kutokana na umbali uliopo kutoka hapa hadi zahanati ya  Soga” alisema Omary Hamis mjumbe wa kamati  ya uchangishaji wa ujenzi wa Zahanati ya Kipangeje

Wanannchi wa wa vijiji hivyo wamekuwa wakitembea umbali mrefu kufata huduma za afya kwenye zahanati za vijiji jirani.

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Kibaha Mhe. Erasto Mkala  amewapongeza wananchi wa vijiji hivyo kwa kuibua miradi na kuisimamia ipasavyo kwani ujenzi wa Zahanati hizo umetekelezwa kwa ubora unaotakiwa na kuwataka kuendelea kusimamia miradi hiyo kwa ukaribu .

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.