• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VITUO VYA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU KIBAHA DC.

Posted on: September 4th, 2025

Halmasha ya Wilaya ya Kibaha  Kupitia kitengo cha Ustawi wa Jamii Kwa kushirikiana na Umoja wa wamiliki wa vituo vya kulelea Watoto (UWAWAVIKUWA) wametembelea  watu wenye uhitaji Maalumu.


Matembezi hayo yamefanyika leo Septemba 4,2025 Kwa kutembelea vituo vitatu vya watu wenye uhitaji Maalumu, wakiwemo wazee, Watoto Yatima na Watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu.


Akizungumza katika utoaji wa zawadi Mbalimbali, Kaimu Afisa Ustawi wa Jamii Bi Restuta E. Maila Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.


Ameushukuru Umoja wa wamiliki wa vituo vya Kulelea Watoto- Daycare    ( UWAWAVIKUWA) Kwa kujitoa Kwa Kwa wazee na watoto yatima.


Maila ametoa rai Kwa wadau wengine kushirikiana na ustawi wa Jamii katika kutatua changamoto zilizopo katika Jamii Kwa ustawi wa  Jamii  iliyobora.


Naye mwenyekiti wa Umoja wa wamiliki wa vituo vya kulelea Watoto vilivyopo katka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Bi  Asia M. Msongani,  amesema wamejitoa ili kuonesha matendo ya huruma na kurudisha kidogo wanachopata kwa Wahitaji ili kupunguza changamoto katika Jamii.


Msongani amewataka watoto kuishi Kwa kumtegemea Mungu kwani uyatima sio mwisho wa Ndoto  zao.


Kwa Upande wao Mama Meena, Khadija Bango na Ditrick Msemwa  ni Miongoni mwa walezi na wasimamizi wa vituo vya watu wenye uhitaji maalumu vilivyopo Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.


Kwa nyakati tofauti wamewashukuru wadau na ustawi wa jamii Kwa zawadi mbalimbali na kuwatembelea, kwani imekuwa faraja kubwa sana Kwa wazee na watoto yatima.


Umoja wa wamiliki wa vituo vya kulelea Watoto, wamepata fursa kutembelea  Vituo vitatu ambavyo ni  Nyumba salama ya wazee ,kituo cha yatima Masjid Nurain na Kituo cha watoto wenye Mazingira magumu  cha Vijaliwa vingi Society.


 Kwa kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo

Sabuni, mafuta,Sukari,

Unga na vifaa vya kujistili Kwa wazee.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBOKO MSUMBUFU ADHIBITIWA MTO RUVU, WANANCHI WAPUMUA.

    September 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI.

    September 03, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC APONGEZWA KURATIBU MAFUNZO YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII -PSSSF.

    September 03, 2025
  • WADAU WA USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VITUO VYA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU KIBAHA DC.

    September 04, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.