• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

NMB kanda ya Dar es salaama wamekabidhi Komputa Mbili kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

Posted on: November 3rd, 2022

Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam Donatus Richard amekabidhi komputa mbili kwa Halmashauri ya wilaya ya kibaha ikiwa ni mchango wa watumishi wa kanda hiyo inayohudumia Dar es salaam na Pwani.

Akiongea wakati wa kukabidhi vitendea kazi hivyo Donatus amesemawatumishi wa kanda hiyo wamechanga fedha kwa ajili ya kulipia gharama za matibabu ya watoto katika taasis ya Jakaya Kikwete(JKCI) jumla ya milioni  tano, pia wamelipia bima ya afya kwa watoto yatima 100, pamoja na kununua komyuta 20 kwa ajili ya halmashauri 14 za Pwani na Dar es salaam ambapo Halmashauri  ya wilaya  ya Kibaha Imenufaika na Kompyuta  mbili.

Aidha Donatus ameta wito kwa Watanzania kutumia bank ya NMB wanapohitaji huduma za kibenki kwani  benki  hiyo inafanya zaidi ya kutoa huduma za kifedha wanatoa huduma za kusaidia jamii pia kwani bank hiyo inatenga asilimia 1% kila mwaka kwa ajili ya kurudisha kwa jamii mwaka jana bank hiyo ilitenga kiasi cha bilioni 2.9.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Butamo Ndalahwa amewashukuru wafanyakazi wa NMB kanda  ya Dar es salaam kwa uungwana waliounyesha kwani wametoa mapato yao ya mfukoni ili kuisaidia jamii inayowazunguka .

Butamo amezitaka taasis nyingine ziige mfano wa bank ya NMB  na amewaahidi kuwa watazitunza vizuri komputa hizo ili ziweze kuleta tija kwa jamii inayohudumiwa na halmashauri hii.

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa La Saba 2022 December 02, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili June 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KIBAHA DC TAREHE 29-07-2022 July 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 27, 2022
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Kamati ya Siasa ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Imefanya Ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo

    January 27, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya kibaha Inaendesha Kampeni ya Siku ya Utoaji wa Chanjo ya Polio

    November 23, 2022
  • Shule 10n Bora Kiwilaya Wakabidhiwa Vyeti vya Pongezi na Zawadi

    March 17, 2023
  • Mkuu wa wilaya ya Kibaha Akabidhiwa Ofisi Rasmi .

    January 30, 2023
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.