• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KIBAHA MHE.NICKSON SIMON, AMEWATAKA MADIWANI KWENDA KUKAGUA MIRADI NA SIO KWENDA KUTEMBELEA MIRADI

Posted on: August 21st, 2024

MKUU  wa Wilaya ya Kibaha, Mhe. Nickson Simon amewataka Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kuwa na tabia ya kukagua miradi na siyo kwenda kutembelea.


Nickson ameyasema hayo leo Agosti 21, 2024 kwenye kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha la kujadili taarifa za robo ya nne, Aprili mpaka Juni, 2024.


"Nendeni mkakague miradi siyo kutembelea; anayekagua, ataangalia ramani inasemaje; na atahoji kila hatua ya ujenzi, tofauti na anayetembelea; akifika anaangalia na kuondoka." amesisitiza Nickson.


Mkuu huyo wa Wilaya ya Kinaha amewakumbusha Madiwani  kuwahimiza wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 2024.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Mhe. Erasto Makala ametoa maelekezo kwa idara ya kilimo kuendesha sensa ya mbwa wote waliopo ndani ya Halmashauri na kuwa na takwimu za mbwa waliochanjwa.


Sambamba na hiyo, Mhe. Makala aliagiza kutafutwa wazabuni watakaoendesha zoezi la kutoa chanjo ya mbwa na wananchi kuchangia kwani Halmashauri haina uwezo wa kuendesha zoezi hilo.


Vilevile, ametaka kuteketezwa mbwa wote wanaozurura mitaani amboa hawana wamiliki kwani wamekuwa wakileta madhara kwa wananchi.


Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri aliyemaliza muda wake, Mhe. Shomari Minshehe amesema kwa kipindi  cha mwaka mmoja akiwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ukimwi waliweza kutoa elimu kwa wananchi jinsi ya kujikinga na ugonjwa huo.


Mhe. Shomari ameongeza kuwa kutokana na elimu hiyo, wameweza kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia


Katibu wa Chama cha mapinduzi Kibaha Vijijini, Steven Shija amewataka madiwani na wataalam kwenda kusimamia miradi ya maendeleo ili iweze kuleta matokeo chanya kwa wananchi.


Shija amesema Chama cha Mapinduzi wataendelea kusimamia kwa weledi miradi hiyo, lengo likiwa ni kuleta matokeo chanya kwa wananchi.


Aidha, Shija ametoa msisitizo kwa Madiwani  kutoa ushirikiano kwa watumishi wanapotekeleza majukumu yao na wasiwe sababu ya kuwakwamisha.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • WWF YAKABIDHI MICHE YA MICHIKICHI KUHIFADHI KINGO ZA MTO RUVU

    May 24, 2025
  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.