• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI.

Posted on: September 3rd, 2025

MKUU WA WILAYA YA KIBAHA  ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI


Mkuu wa Wilaya ya Kibaha Mhe Nickson John amefanya ziara fupi ya siku moja kutembelea Mradi wa Stendi  na Ujenzi wa Soko Jipya la Mlandizi.


Mhe Nickson aliambatana na wataalamu kutoka Halmashauri ya wilaya ya Kibaha wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bi Regina L.Bieda.


Akizungumza Kwa nyakati tofauti Mkuu wa Wilaya huyo amesema ameridhishwa na kasi nzuri ya ujenzi wa Stendi.


Hii ni baada ya kufanya ukagauzi wa mradi huo Unaojengwa Kwa Mapato ya Ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, ambapo hadi Sasa ujenzi umefikia zaidi ya asilimia 90 katika umaliziaji wake.


Wakati huo huo Mhe Mkuu wa Wilaya ameonesha hali kukasirishwa na Kasi ndogo ya Ujenzi wa Soko jipya la kisasa la Mlandizi.


Hivyo kutokana na hali hiyo Mkuu wa Wilaya huyo amemwamuru Mkandalasi wa Mradi huo kufika Ofisini kwake Mapema siku ya Jumatatu Kwa maelezo zaidi kwanini Ujenzi upo nyuma ya mkataba wa ujenzi uliosainiwa.


Mradi huo wa Ujenzi wa Soko Jipya la Mlandizi unajengwa na kampuni ya RAMADA CONSTRUCTION ENGINEERS COMPANY LTD Chini ya Mkandalasi kiongozi ndugu Jv Kinjeketile ,ambapo hadi Sasa wapo nyuma ya  mkataba wa Ujenzi huo.


Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Bi Regina L. Bieda amesema wanataraji kufungua stendi mpya ya Mlandizi iliyoko kata ya Mtambani mnamo tarehe 5 Septemba mwaka huu.


Bi Bieda ametumia fursa hiyo kuwataka Wafanyabiashara, wajisiriamali pamoja na wadau Usafirishaji Kuanza kutumia Stendi hiyo punde itakafunguliwa Kwa maslahi mapana ya kwao, Halmashauri na Taifa Kwa ujumla

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBOKO MSUMBUFU ADHIBITIWA MTO RUVU, WANANCHI WAPUMUA.

    September 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI.

    September 03, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC APONGEZWA KURATIBU MAFUNZO YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII -PSSSF.

    September 03, 2025
  • WADAU WA USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VITUO VYA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU KIBAHA DC.

    September 04, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.