• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • SP FINAL DRAFT
      • Mazingira na Usafishaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Ufugaji wa Nyuki
      • Uchaguzi
      • TEHAMA
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Afya
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Akabidhiwa Ofisi Rasmi .

Posted on: January 30th, 2023

Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya kibaha Sara Msafiri amemkabidhi rasmi ofisi mkuu mpya wa Wilaya ya Kibaha Mhe.Nickson John makabidhiano hayo yamefanyika katika Halmashauri ya mji Kibaha na kushuhudiwa na kamati ya ulinzi na usalama, wenyeviti wa halmashauri zote mbili pamoja na watendaji kutoka taasis mbali mbali za serikali.

Akiongea kwenye makabidhiano hayo Sara amezikushuru halmashauri pamoja na tasisi za serikali viongozi wa dini kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote alichofanya kazi kibaha.

“niwashukuru Wakurugenzi wangu na kamati ya ulinzi na usalama mmenipa ushirikano hakuna mahali tumewahi kushindwa kila lilipotokea jambo tulishirikiana kwa karibu ,naamini teamwork pays mkifanya kazi kwa ushirikiano lazima mtashinda niwaombe ushirikiano mlionipa muonyeshe kwa Dc mpya ili tuzidi kumsaidia Mhe. Rais”

Sara amesema amejifunza vitu vingi sana  alipokuwa mkuu wa wilaya ikiwemo utawala hivyo atatumia ujuzi huo kuendelea mbele.

Mkuu wa wilaya ya Kibaha Nickson amesema anaamini katika teamwork anaamini watu wakifanya kazi kwa ushirikiano kazi zitaenda vizuri hivyo kuwataka watumishi kufanya kazi kwa kushirikiana ili kuleta maendeleo katika wilaya ya Kibaha.

Nickson ameziomba taasis zote na Halmashauri kushirikiana nae kwenye kazi ili kuweza kutengeneza ndoto ya pamoja ya kuleta maendeleo kwa wananchi wa Kibaha.

Akiongea kwenye makabidhiano hayo Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha Mhe. Erasto Makala amempongeza Sara kwa juhudi alizoonyesha alipokuwa Mkuu wa wilaya kwani miradi mingi imejengwa Kibaha chini ya uongozi wake.

Makala amempongeza Nicksoni kwa kuendelea kuaminiwa na Mhe. Rais  na kumuahidi kumpa ushirikiano wa kutosha .

“Nickson sio mgeni kwenye ukuu wa Wilaya najua amefanya vizuri Kisarawe naomba niamini kwenye ndoto ulizosema ,  kibaha tunaamini kwenye teamwork nikuhakikishie sisi wenyeviti tutakupa ushirikiano wa kustosha” alisema Makala.

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Kibaha mji Mhe.Ndomba amemshukuru Sara kwa utendaji mzuri na kusema ameacha alama kwani alikuwa anaweza kuingia sehemu ambayo watu wengine hawawezi kuingia .

Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya kibaha Butamo Ndalahwa amesema Sara ameacha alama kwani chini ya uongozi wake halamshauri hiyo iliweza kushika namba moja katika ukuasanyaji mapato.

Pia aliweza kusimamia uazishwaji wa kongani za viwanda ya Disunyara na kwala . Butamo amemuhakikishia mkuu wa wilaya kuwa yeye na Cmt yake watampa ushirikiano wa kutosha .

Matangazo

  • Matokeo ya Darasa La Saba 2022 December 02, 2022
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili June 28, 2022
  • KUITWA KWENYE MAFUNZO YA SENSA KIBAHA DC TAREHE 29-07-2022 July 27, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi May 27, 2022
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • Kamati ya Siasa ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Imefanya Ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo

    January 27, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya kibaha Inaendesha Kampeni ya Siku ya Utoaji wa Chanjo ya Polio

    November 23, 2022
  • Shule 10n Bora Kiwilaya Wakabidhiwa Vyeti vya Pongezi na Zawadi

    March 17, 2023
  • Mkuu wa wilaya ya Kibaha Akabidhiwa Ofisi Rasmi .

    January 30, 2023
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.