• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI KIBAHA DC APONGEZWA KURATIBU MAFUNZO YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII -PSSSF.

Posted on: September 3rd, 2025


Watumishi  wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wamepata Mafunzo kutoka Mfuko Wa hifadhi ya Jamii (PSSSF).


Mafunzo hayo yamefanyika leo Septemba 3,2025 katika Ukumbi Mkubwa wa Halmashauri.


Akizungumza awali Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Ndugu Edward Masona katika ufunguzi wa mafunzo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Bi Regina L.Bieda, ameshukuru Kwa ujio wa Maafisa wa kutoka PSSSF na kuwataka watumishi wa Umma kusikiliza Kwa makini na kupata weledi mzuri juu ya mfuko huo wa hifadhi ya Jamii.


Masoma amesema mfuko wa hifadhi ya jamii hubeba taswira nzima ya Maisha ya mtumishi wa Umma wakati na baada ya utumishi kukoma.


Naye  Afisa Mafao kutoka PSSSF ndugu Abraham Kiishwako ameweeleza  watumishi wa Umma Kuna Mafao ya aina tano ambayo hutolewa na PSSSF kama vile, Mafao ya Muda Mrefu, Mafao ya Uzeeni, Mafao ya Ulemavu, Mafao ya Kifo na Mafao ya Wategemezi.


Aidha Kiishwako amewataka watumishi wa Umma  hasa Ajira Mpya  kujisali kidigital katika Mfumo Wa PSSSF PORTAL ili kupata taarifa za michango yao pamoja huduma Zingine za Mfuko.


Lengo la Mafunzo hayo kujenga weledi Kwa watumishi wa Umma juu huduma zitolewazo na mfuko huo.


Ramadhani  Mang'walu na Tutindaga Ngomale ni Miongoni mwa Watumishi wa Umma walioshiriki Mafunzo, Kwa nyakati tofauti wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji Kwa kuwapa fursa ya kuufahamu Mfuko wao Wa hifadhi ya Jamii .


Akifunga Mafunzo hayo ya siku moja Kwa watumishi wa Umma, Edward Masona amewataka watumishi kuzingatia maelekezo ya Maafisa Mafao kutoka PSSSF ili kuondoa usumbufu wakati na baada ya kustaafu.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBOKO MSUMBUFU ADHIBITIWA MTO RUVU, WANANCHI WAPUMUA.

    September 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI.

    September 03, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC APONGEZWA KURATIBU MAFUNZO YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII -PSSSF.

    September 03, 2025
  • WADAU WA USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VITUO VYA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU KIBAHA DC.

    September 04, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.