• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE WA KIBAHA VIJIJINI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: September 11th, 2024

Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini, Mhe. Michael Mwakamo, alifanya ziara ya kikazi katika jimbo hilo leo, Septemba 10. Katika ziara hiyo, alitembelea Kata za Kilangalanga na Kawawa ambapo alikagua miradi mitano ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa uzio wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, kantini, bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalumu, hospitali ya wilaya na maktaba ya kilimo. Mhe. Mwakamo alianza ziara yake kwa kukagua mradi wa uzio na kantini ya Halmashauri yenye thamani ya Shilingi milioni 207 ambapo ujenzi umefikia asilimia 85.5 kulingana na taarifa ya mkandarasi. Alimhimiza Mkandarasi na Afisa Mipango wa Halmashauri kuhakikisha mradi wa nyumba za watumishi unakamilika kwa wakati ili watumishi pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri waweze kuhamia mapema. Akiwa katika Kata ya Kilangalanga alikagua mradi wa Kituo cha Mafunzo ya Kilimo ambacho kinatarajiwa kutoa huduma za maktaba ya kilimo na shughuli nyingine za kilimo katika Halmashauri hiyo kwa lengo la kuimarisha sekta ya kilimo. Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Dkt.  Wilfred Kondo alipokea maelekezo kuhusu uboreshaji wa hospitali ya wilaya ambapo Mhe. Mwakamo alitembelea jengo la kuhifadhi maiti, jengo la wazazi na kupokea ripoti fupi kutoka kwa daktari huyo. Mhe. Mwakamo alishauri viongozi wa hospitali hiyo kwenda kujifunza kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kuhusu jinsi ya kuboresha mazingira ya hospitali. Ziara hiyo ilihitimishwa kwa kikao kifupi na wananchi katika eneo la Shule ya Sekondari Disunyara ambapo Mhe. Mwakamo alizungumza na wananchi na viongozi wa Halmashauri ya Kibaha.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.