• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MBUNGE KIBAHAVIJIJINI AKABIDHI HUNDI YA MILIONI 917 KWA VIKUNDI 76

Posted on: February 10th, 2025

 Pwani – Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini, Michael Mwakamo, amekabidhi hundi ya mfano ya Shilingi milioni 917 kwa vikundi 76 vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu, ikiwa ni sehemu ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri.


Hafla hiyo imefanyika leo katika viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani, Mlandizi, ikihudhuriwa na wanufaika wa mkopo pamoja na wananchi wengine.


Akizungumza katika tukio hilo, Mwakamo amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kurejesha mikopo hiyo, akisema hatua hiyo itawasaidia wananchi kuepuka mikopo yenye masharti magumu. Amehimiza wanufaika kurejesha fedha hizo kwa wakati ili wengine pia wapate fursa ya kunufaika.


"Kuna dhana potofu kwamba fedha hizi ni ruzuku au sadaka. Naagiza vikundi vyote kurejesha mikopo kwa wakati ili mfuko huu uwe endelevu," amesema Mwakamo.


Aidha, amewakumbusha wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kuanzia Februari 13 hadi 19, 2024, akibainisha kuwa zoezi hilo linawahusu waliotimiza miaka 18, waliohama makazi, na waliopoteza vitambulisho vyao.


Kwa upande wake, Mkuu wa Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Shukuru Lusanjala, amesema Halmashauri imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya mikopo hiyo, ambapo katika robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025, jumla ya Shilingi 917,329,000 zimelenga vikundi 76, wakiwemo wanawake (Shilingi 466,452,000), vijana (Shilingi 409,371,000), na watu wenye ulemavu (Shilingi 41,500,000).


Hata hivyo, ameeleza kuwa changamoto kubwa ni baadhi ya vikundi kushindwa kurejesha mikopo yao kama inavyotakiwa.


Naye Kaimu Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) amepongeza usimamizi mzuri wa mikopo hiyo chini ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, akisema chama kinaridhishwa na utendaji wake.


mmoja wa wanufaika wa mkopo wa watu wenye ulemavu, ameishukuru Serikali kwa kuwezesha upatikanaji wa mitaji, akisema msaada huo umewasaidia kujikwamua kiuchumi na kupunguza utegemezi.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.