• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAPATO KIBAHADC YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 8.5

Posted on: August 28th, 2024

Mapato   KibahaDc  Yaongezeka  kwa asilimia 8.9%.


Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imefabikiwa kuongeza mapato katika mwaka wa fedha 2023/2024, baada ya mapato yake kuongezeka kwa asilimia 8.9% ikilinganishwa na mwaka uliotangulia.


Ongezeko hilo limechangia kwa kiasi kikubwa katika kuendeleza miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la kisasa linalojengwa  eneo la Mlandizi.


Taarifa hiyo imetolewa Agosti 28, 2024, na Mweka Hazina wa Halmashauri hiyo, Zubeda Nkala, wakati wa kikao maalumu cha Baraza la Madiwani la kujadili ufungaji wa hesabu za mwisho wa mwaka 2023/2024.  


Kwa mujibu wa Nkala ongezeko hilo la mapato ni matokeo ya usimamizi bora wa fedha uliofanywa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri,Regina Bieda.


Pamoja na mafanikio hayo, Nkala amebainisha kuwa Halmashauri bado inadai fedha kutoka taasisi na idara mbalimbali za serikali.


Kutokana na hali hiyo  Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo  Erasto Makala, ametumia nafasi hiyo kumpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Regina Bieda kwa usimamizi mzuri wa fedha unaozingatia sheria na kanuni.


Pia amewataka Watendaji wa idara husika kuhakikisha wanahakiki madeni yanayodaiwa na Halmashauri na kulipa madeni yaliyopo kadri ya uwezo wa ndani.


Katika kikao hicho, wajumbe pia waliafiki ombi la Mkurugenzi Mtendaji, Regina Bieda, la kuchangia ada na mahitaji ya mwanafunzi yatima, Narsa Hussein, kutoka kijiji cha Soga ambapo walikubali kuchangia kutokana na umuhimu wa suala hilo.


Halmashauri ya Kibaha inaendelea na juhudi za kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa ufanisi na kwamba rasilimali za umma zinasimamiwa vyema kwa manufaa ya wananchi.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.