• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Makatibu Wakuu Wakutana Kujadili Mpango Kabambe wa MjiI wa Kibiashara Kwala

Posted on: August 16th, 2022




Makatibu wakuu kutoka wizara saba  wamekutana kujadali mpango kabambe wa uendelezaji wa jiji la kibiashara la kwala lililopo Kibaha Mkoani Pwani.

Makatibu hao wamekutana kwenye kikao cha muendelezo kilichofanyikia Kwala.

Akiongea kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni katibu Mkuu Wizara ya Tamisemi  Pro. Riziki Shemdoe amesema wamekubaliana kuwa ifikapo 31/12/2022 bandari kavu ya Kwala iwe imeanza kufanya kazi .

Pro. Shemdoe amesema katika eneo viwanda 200 vinatarajiwa kujengwa na kwamba wawekezaji hao wameomba kupatiwa huduma ya umeme wa megawati 2 kwa kuanzia na baadae megawati 30 ili wafanye kazi kwa ufanisi.

Aidha Katiibu mkuu huyo amesisitiza kwamba ombi la megawati 250 linaendelea kufanyiwa kazi na Serikali na kutokana na umuhimu wake majibu yatapatikana

Kwa mujibu wa Katibu mkuu huyo wameelekeza barabara kutoka Vigwaza hadi Kwala iwe imekamilika ifikapo Sep 30  mwaka huu na maelekezo yametolewa kwa Wakala wa Barabara TANROAD walioingia mkataba na mkandarasi ahakikishe hakuna kuongeza muda .

Ameelekeza  ifikapo mwezi Desemba mwaka huu maji yawe yamefika katika eneo hilo  hivyo ambapo amewataka Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira  (DAWASA) kumuandikia Katibu Mkuu Wizara ya maji kumwomba sh. Bil.20 ili kazi iweze kuanza mwezi Septemba kutokana na  Wawekezaji kulalamika adha ya ukosefu wa maji wanayoipata inayosababisha kuchota maji kwenye bonza.

Kwa mujibu wa Pro. Shemdoe wamepokea changamoto ya Mawasiliano kutoka kwa wekezaji ambao wamedai kwasasa ni mtandao wa Tigo pekee na kuwataka watoa huduma za mawasiliano wakawekeze Kwala .

Katika hatua nyingine Katibu mkuu aliwataka wanaoandaa mpango kabambe wa kwala wawe wamekamilisha ifikapo tarehe Octoba 30.

Naye Katibu Mkuu Nishati Mhandisi Felshesmi Mramba  amesema megawati mbili zinaweza kupatikana ndani ya siku moja na megawati 30 zitapatikana kabla ya Novemba 30 mwaka huu

Vijiji 30 kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Chalinze na Kisarawe vitaingia kwenye mpango kabambe wa kuendeleza jiji la kibiashara la Kwala 2022-2042



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.