• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mabula Aagiza Halmashauri Kuziwezesha Idara za Ardhi

Posted on: September 26th, 2018

NAIBU Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula ametoa agizo kwa Halmashauri kuhakikisha zinawezesha idara za ardhi ziweze kufanya kazi kwa ufanisi.


Mabula ametoa agizo hilo juzi wakati wa ziara yake ya siku moja katika Halmashauri ya wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani katika shamba la Soga na Kikongo ambayo yalikua na mgogoro wa muda  mrefu.


Alisema, idara hizo zimekua zikikwama kutekeleza baadhi ya mipango yake kutokana na kukosa fedha ambazo Halmashauri ingeweza kutoa na kufanikisha kinachotakiwa kufanyika.


"Halmashauri nyingi hazitambui umuhimu wa idara ya ardhi hawajui kama ndio kila kitu katika kukuza mapato kwenye maeneo yao, idara hii imekua kama yatima wakati mwingine wataalamu wanashindwa kufika Vijijini kwa kukosa gari changamoto hizi zitafutiwe ufumbuzi wathaminiwe kama idara nyingine" alisema.


Aidha alitoa wito kwa idara za ardhi kufanya utambuzi wa wamiliki wa Ardhi kwani kwa kufanya hivyo itasaidia kuongeza mapato ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wananchi kuwa na  hatimiliki ya ardhi.


" Viwanja vyote viewe kwenye mfumo ili ufuatiliaji wa mapato uwe rahisi, taarifa za madeni pia ziwe kwenye mfumo itarahisisha hata ukusanyaji wa  mapato kwenye idara yenu" alisema.


Naibu Wazir huyo akitembelea katika shamba lilipo Soga ambalo linamilikiwa mwekezaji na halijaendelezwa kwa muda mrefu na baadhi ya wannchi wakiwa wameweka makazi katika shamba hilo.


Alisema, wapo wananchi ambao wamekua wakiishi ndani ya shamba hilo  tangu mwaka 1975 hivyo hawawezi kutolewa kwani tayar Kijiji kinatambulika.


Alisema, mchakato wa kufuta ama kuendelea kuacha shamba hilo kwa mwekezaji unaendelea lakini wananchi wanaoishi hapo hawataondolewa.


Awali mwenyekiti wa Kipangege Shomari Juma alimueleza Waziri huyo kuwa walikua wanashindwa kulima kutokana na eneo hilo kudaiwa ni la mwekezaji.


Aidha kabla ya tamko la Waziri huyo kwa wananchi kuendelea kuishi katika shamba hilo mmoja wa wanakijiji Subira Juma alisema, walikua wakikamatwa na kunyanyaswa Kutokana na kuishi ndani ya shamba hilo.


Wananchi hao walimshukuru Waziri huyo kwa tamko hilo ambalo litawaweka huru kuendelea kufanya shughuli zao za maendeleo.


Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA, RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA MIZIGO SGR NA BANDARI KAVU MKOANI PWANl

    July 31, 2025
  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA: BANDARI KAVU, VIWANDA NA TRENI YA MIZIGO KUZINDULIWA NA RAIS SAMIA KESHO

    July 30, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.