• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MAAMBUKIZI YA MALARIA YAPUNGUA KIBAHA DC, WAKAZI ZAIDI YA ELFU 95 KUNUFAIKA NA VYANDARUA BURE

Posted on: August 26th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imemaliza zoezi la uandikishaji wa wakazi wake kwa ajili ya ugawaji wa vyandarua.

Akizungumza katika kikao kazi leo, Agosti 26, 2025, Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo, Dkt. Festo Lyimo, amesema hadi sasa zaidi ya wakazi 95,000 wameandikishwa kwenye kanzidata ya Wizara ya Afya kupitia Idara ya Bohari ya Dawa (Medical Stores Department - MSD).

Kwa upande wake, Mratibu wa Malaria wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Daniel Mwita, amesema zoezi la uandikishaji limevuka lengo na kufikia asilimia 103.

Mwita alitoa taarifa hiyo fupi kuhusu uandikishaji na hali ya malaria katika Halmashauri, akibainisha kuwa kiwango cha maambukizi ya malaria kimepungua na kufikia asilimia 5.2. Hali hiyo imetokana na utekelezaji wa afua mbalimbali, ikiwemo unyunyiziaji wa dawa za kuua viluilui na ugawaji wa vyandarua kwa wananchi.

Awali, akifungua kikao kazi hicho, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Bi. Regina L. Bieda, aliishukuru Serikali kupitia Wizara ya Afya na TAMISEMI kwa juhudi za kupambana na malaria kwa kuleta afua mbalimbali, ikiwemo ugawaji wa vyandarua bure kwa wananchi.

Naye Meneja wa MSD Kanda ya Dar es Salaam, Bi. Betia Kaema, amesema ugawaji wa vyandarua unatarajiwa kuzinduliwa katika Mkoa wa Pwani tarehe 8 Septemba 2025, mara baada ya halmashauri zote mkoani humo kukamilisha zoezi la uandikishaji.

Akihitimisha kikao kazi hicho, Bi. Regina L. Bieda aliwataka waratibu wa malaria, watendaji wa kata na vijiji kusimamia kwa umakini zoezi la ugawaji wa vyandarua kwa kuzingatia hali ya kijiografia ili kila mwananchi aweze kunufaika.

Aidha, aliwapongeza wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa mchango wao katika kupambana na malaria na kuwatunuku vyeti pamoja na zawadi ndogo za fedha kama ishara ya kutambua kazi yao kwa jamii.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • MAAMBUKIZI YA MALARIA YAPUNGUA KIBAHA DC, WAKAZI ZAIDI YA ELFU 95 KUNUFAIKA NA VYANDARUA BURE

    August 26, 2025
  • WATUMISHI 180 KIBAHA DC WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS ULIOBORESHWA

    August 21, 2025
  • WATUMISHI 180 KIBAHA DC WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS ULIOBORESHWA

    August 21, 2025
  • MAFUNZO YA MFUMO WA FFARS ULIOBORESHWA YAFANYIKA KIBAHA DC

    August 20, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.