• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kongani ya Viwanda Kamaka,Itakayogharimu Trilioni 3.1 Kuinua Uchumi Mkoani Pwani

Posted on: May 18th, 2023

Mwenge wa Uhuru, umepitia na kuridhishwa na mradi wa ujenzi wa kongani ya viwanda ya KAMAKA , Disunyara, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani, ambapo hadi kukamilika itatumia gharama ya Trilioni 3.1 na kutoa ajira 200,000.

Akitembelea mradi huo, Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa, Abdallah Shaib alieleza Serikali inaendelea kushirikiana na wawekezaji ili kuinua sekta ya uwekezaji na viwanda.

“Nawapongeza wawekezaji wazalendo,huu ni mfano wa kuigwa, Serikali inatambua mchango wao,”

Shaib alieleza kongani hiyo inakwenda kuleta tija, kuongeza ajira na kukuza pato la Taifa.

Kiongozi huyo,alitoa wito kwa Watanzania wenye uwezo,wajenge uthubutu na kuwa wazalendo kujenga uwekezaji mkubwa kama huo.

Akitoa taarifa ya mradi huo Nelson Mollel,kwa Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, alieleza kati ya fedha hizo Bilioni 122.4 itatumika katika miundombinu ndani ya miaka mitano hadi sasa Bilioni 31.7 zinatumika kwenye awamu ya kwanza ya miundombinu.

“Katika mradi huu viwanda zaidi ya 200 vitajengwa kati ya hivyo ni viwanda tisa vikubwa na vingine vitakuwa vidogo na vya kati, na eneo la ujenzi ni hekari 1,000″alibainisha Mollel.

Mollel alifafanua, lengo la ujenzi ni kutii wito wa Serikali kujenga viwanda na kukuza uchumi, kuongeza fursa za kiuchumi katika uzalishaji wa ajira.

Pia kulinda hifadhi ya Mazingira kujenga viwanda vingi kwenye eneo moja badala ya kujenga viwanda vingi kwa maeneo mbalimbali.

Awali Akipokea Mwenge huo Vikuruti, Kibaha Vijijini ukitokea Bagamoyo,Mkuu wa wilaya ya Kibaha,Nikkison Saimon alieleza, Mwenge ukiwa wilayani humo unapitia miradi 26 yenye thamani ya trilioni 3.1 katika Halmashauri mbili ya Kibaha Vijijini miradi 14 na miradi 12 Kibaha Mjini .

Kati ya miradi mingine iliyopitiwa Kibaha Vijijini, ni pamoja na kuweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara kutoka Bandari Kavu kwenda kongani ya viwanda ya Sinotan.

Kuweka jiwe la msingi jengo la wagonjwa wa nje (OPD) Zahanati ya Vikuruti,ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa shule ya Sekondari Disunyara ambao umezinduliwa.

Kufungua mradi wa ujenzi wa jengo la upasuaji na wadi kituo cha afya cha st.Michael, kuweka jiwe la msingi mradi wa maji Kijiji cha Ruvu Stesheni.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.