• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kikao cha Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI na Waalimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

Posted on: May 31st, 2024

Mwakilishi wa naibu katibu mkuu TAMISEMI aneshughulikia elimu Kiduma Mageni amefanya kikao na waalimu wa halmashauri ya wilaya Kibaha.

Lengo la kikao hicho nikuwaeleza waalimu hao vitu vinavyofanywa na serikali na serikali inataka waalimu wafanye nini.

Kaduma amewaambia Mhe.Rais anawapenda sana waalimu ndio maana tangu serikali ya awamu ya sita iingie madarakani imefanya uwekezaji kwenye sekta ya elimu kama kujenga shule mpya, kujenga vyumba vya kutosha vya madarasa pia ujenzi wa nyumba za waalimu yote hayo yamefanyika ili kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa waalimu.

Kaduma amesema kwa utafiti mdogo uliofanywa na ofisi ya Rais TAMISEM waalimu wa Tanzania wana malalamiko makuu sita ambayo ni kupanda madaraja, Miundo ya kiutumishi pale waalimu wanapoenda kujiendeleza kimasomo, salary arrears,  malipo ya likizo , uhamisho, na lugha mbaya na kejele za kutokudhamini kazi nzuri zinazofanywa na waalimu.


Mageni amesema tayari wameshaanza kufanyia kazi malalamiko hayo na waalimu 54,000 watapanda madaraja kwa mserereko.

Amesema utatuzi wa salary arrears umeshaanza kufanyiwa kazi na baadhi ya waalimu wameshaanza kupokea madai yao hayo na kutoa maelekezo kwa waalimu ambao hawajapata malipo yao na wameshajaza fomu za arrears wapeleke fomu zao kwa maafisa elimu wa wilaya na kuwataka maafisa elimu kurudisha majibu ya maendeleo ya madai hayo kwa waalimu kila mwezi.

Pia kiongozi huyo amesema leave roster ijazwe shuleni kwa wazi kabisa kwani likizo sio hisani ni haki ya mtumishi na serikali inaleta fedha za kutosha hivyo utaratibu ukiwekwa vizuri kila mwalimu atapata haki yake kwa wakati kabisa.

Fatuma Kisalazo kaimu Mkurugenzi amesema wamepikwa na kuiva kabisa na kuahidi kuwa yeye pamoja na waalimu wenzake wanaenda kuwa wapya kwani wamepokea yote walioelekezwa na hivyo watarajie kibaha mpya kwenye upande wa elimu.

Kwa niaba ya waalimu wa shule za msingi mwalimu Titi Shabani Maziku amesema wamefarijika sana kwa namna ya pekee kwani hawajawahi kukaa na kiongozi mkubwa kama naibu katibu mkuu na kujadili changamoto zao na kuahidi wanaenda kuchapa kazi na kuleta matokeo chanya kwenye sekta ya elimu. Pia amemshukuru Mhe. Rais kwa kuwaletea miradi mingi ya kuboresha sekta ya elimu na kwa sasa Kibaha inameremeta.

Abdallah Rashid Hemed kwa niaba ya elimu sekondari amesema wamepokea yote yaliyoelekezwa na kuahidi kuwa yeye na waalimu wenzake wanaenda kuwa wapya

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.