• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIBOKO MSUMBUFU ADHIBITIWA MTO RUVU, WANANCHI WAPUMUA.

Posted on: September 10th, 2025

Maafisa Wanyamapori wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha wakiongozwa na Afisa Wanyamapori wa Wilaya, Leonard Haule, wamefanikiwa kumdhibiti kiboko aliyekuwa akisumbua wananchi wa vitongoji vya Kisabi, Ruvu Dosa na Kidogozera vilivyoko kandokando ya Mto Ruvu.

Kiboko huyo alikuwa akitoka majini na kuingia kwenye makazi ya wananchi, kula mazao yao na kuhatarisha usalama wa wakazi pamoja na mifugo yao.

Akizungumza baada ya zoezi hilo, Haule alisema katika kipindi cha miezi mitatu pekee wamefanikiwa kudhibiti viboko wasumbufu watatu, hatua ambayo imeongeza usalama kwa wakazi wa maeneo hayo. “Wananchi wanatakiwa waendelee na shughuli zao za kila siku bila hofu kwa kuwa sisi tupo kazini kuhakikisha wanalindwa dhidi ya wanyama wakali,” alisema.

Aidha, baada ya kumdhibiti kiboko huyo, nyama yake ilipimwa na daktari wa wanyama kisha kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya kitoweo.


Pamoja na hilo, maafisa wanyamapori walitumia fursa hiyo kutoa elimu ya kujikinga na wanyama wakali na waharibifu, ikiwemo kuepuka kulima karibu na mto chini ya mita 60 na kwenda kwa makundi wanapotekeleza shughuli kama kuteka maji ili kuepuka mashambulizi ya mamba. Haule alisisitiza kuwa elimu hiyo ni endelevu na itaendelea kutolewa mara kwa mara.

Wananchi wa vitongoji husika waliishukuru serikali kwa hatua ya mara kwa mara kupeleka maafisa wanyamapori katika maeneo yao na kwa elimu inayotolewa kuhusu namna bora ya kujiepusha na mashambulizi ya wanyama wakali kama viboko na mamba. Pia walihimizwa kutoa taarifa mapema pindi wanyama hao wanapoonekana ili wadhibitiwe haraka na kuepusha madhara.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KIBOKO MSUMBUFU ADHIBITIWA MTO RUVU, WANANCHI WAPUMUA.

    September 10, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KIBAHA ATEMBELEA MRADI WA STENDI NA SOKO LA JIPYA LA MLANDIZI.

    September 03, 2025
  • MKURUGENZI KIBAHA DC APONGEZWA KURATIBU MAFUNZO YA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII -PSSSF.

    September 03, 2025
  • WADAU WA USTAWI WA JAMII WATEMBELEA VITUO VYA WATU WENYE MAHITAJI MAALUMU KIBAHA DC.

    September 04, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.