• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KIBAHA DC YAVUKA MALENGO YA MAPATO, YAKAMILISHA MIRADI YOTE YA MAENDELEO

Posted on: June 16th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imevuka lengo la ukusanyaji mapato kwa asilimia 110 na kufanikisha utekelezaji wa miradi yote ya maendeleo kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Regina Bieda, wakati wa kikao maalum cha Baraza la Madiwani kilichofanyika tarehe 16 Juni 2025 kwa ajili ya kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Bieda alisema mafanikio hayo yanatokana na ushirikiano mzuri kati ya wataalamu wa Halmashauri, Baraza la Madiwani pamoja na wananchi, na kwamba usimamizi madhubuti umeiwezesha Halmashauri hiyo kupata hati safi.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, alipongeza Halmashauri ya Kibaha kwa kazi nzuri ya ukusanyaji mapato na utekelezaji wa miradi, akisema:


“Niwapongeze, mnafanya vizuri sana kwenye mapato na usimamizi wa miradi. Sasa nawataka msizalishe hoja kabisa—zibaki hoja za kisera tu.”


Kunenge alisisitiza umuhimu wa kuendelea kuchapa kazi kwa kuzingatia falsafa ya R5 ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, huku akiitaka Halmashauri kupanga mji kwa weledi kutokana na ukuaji wake wa kasi na mvuto kwa wawekezaji.

Naye Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Pwani alipongeza Halmashauri hiyo kwa kujibu hoja 20 kati ya 29 zilizoibuliwa  na kubakiza hoja 9 tu za kisera, huku akiitaka kuhakikisha haina hoja mpya katika ukaguzi ujao.

Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Halima Jongo, alitumia fursa hiyo kumshukuru Mkuu wa Mkoa kwa ushirikiano na kumpongeza Mkurugenzi Bieda kwa uongozi bora na ushirikiano wake na baraza la madiwani.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • JUKWAA LA WANAWAKE KIBAHA DC LAFANYA UCHAGUZI, DKT. MAIMUNA AIBUKA MWENYEKIT

    June 23, 2025
  • MADIWANI KIBAHA WAAGWA RASMI, MAFANIKIO YASISITIZWA KAMA URITHI WA USHIRIKIANO

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA KIBAHA YAZINDUA ZOEZI LA UNYUNYIZIAJI VIUADUDU KUDHIBITI MALARIA

    June 17, 2025
  • KIBAHA DC YAVUKA MALENGO YA MAPATO, YAKAMILISHA MIRADI YOTE YA MAENDELEO

    June 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.