• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kibaha Dc Yapitisha Bajeti ya Bilioni 29.3

Posted on: February 11th, 2019

KIBAHA DC YAPITISHA BAJETI YA BILIONI 29.3

Halmashauri ya Wilaya ya kibaha Mkoani Pwani,imepitisha mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 jumla ya Tsh 29,388,131,372.60 kwenye kikao cha baraza maalum la Madiwani lililofanyika kwenye ukumbi wa wazee Mlandizi.

 Akifungua kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Mhe. Mansour Kisebengo alisema kuwa lengo la kikao ni kupitia na kupitisha bajeti ya mwaka 2019/2020  itakayotoa mwanga wa nini kimepangwa kufanyika kwa mustakabali wa maendeleo ya Kibaha Vijijini.

Mwenyekiti amesema Kati ya fedha zilizotengwa kiasi cha Tshs. 1,986,514,976.40 ni makusanyo ya ndani,  Tshs. 1,022,836,000.00 ni  makusanyo yatokanayo na Mfuko wa Afya wa Jamii, ada, Bima na malipo ya papo kwa papo,  Tshs, 23,509,899,027.94 ni Mishahara ya Watumishi, Tshs.1,015,631,091.26 ni matumizi ya kawaida na Tshs. 1,853,250,277.00 ni miradi ya maendeleo.


Kisebengo alisema Mpango na Bajeti kwa mwaka wa fedha  2019/2020 umeandaliwa kwa kuzingatia Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa miaka mitano awamu ya pili unaolenga Uchumi wa Viwanda, Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2015, Sheria ya Bajeti, sura 439 na kanuni zake na Masuala yaliyosisitizwa katika mwongozo wa Mpango na Bajeti ya mwaka 2019/2020.

Mwenyekiti ametaja vipaombele kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kuwa ni kuendelea kuboresha miundombinu ya kutolea huduma za afya,elimu ,utawala na kusimamia mpango wa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari.

Akiongea Wakati wa kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Kibaha Butamo Ndalahwa amesema atasimamia mapato ipasavyo na kuwataka watendaji wote wa halmashauri pamoja na madiwani kutoa ushirikiano kwenye swala zima la kukusanya mapato.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.