• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kaya Maskini Kunufaika na Kilimo Cha Pilipili Kibaha Dc

Posted on: September 11th, 2018

KAYA MASKINI KUNUFAIKA NA KILIMO CHA PILIPILI KIBAHA

Wanufaika wa mradi wa kunusuru kaya masikini kijiji cha Dutumi wilaya ya Kibaha wanatarajia, kunufaika na zao la pilipili, kupitia mradi wa PWP, mradi unaotekelezwa na TASAF awamu ya III.

Wananchi hao wamethibitisha kujikita kwenye kilimo cha pilipili wakati walipotembelewa na wajumbe wa kamati ya Siasa wilaya ya Kibaha na kufafanua kuwa, kilimo hicho cha pilipili kitategemea zaidi umwagiliaji na si kutegemea mvua kama hapo awali.

Awali wakisoma wakisoma taarifa ya mradi huo, mbele ya kamati huyo ya siasa, wanufaika hao wameiomba serikali kuwanunulia mashine ya kuvutia maji pamoja na mipira ili kufanikisha mradi wao ambao wanategemea zaidi kuwa, utawakwamua kiuchumi.

Wananchi hao wamesema kuwa wako tayari kuunga mkono kauli ya mhexhimiwa Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya Hapa Kazi tuu, kwa vitendo huku wakitumia fursa hiyo kujiajiri na kujikwamua kutoka kwenye wimbi la umasikinibwaliokua nao.

Athumani Muhoza.mmoja wa wanufaika hao, amesema licha ya kuwa TASAF inatoa msaada kwa kaya masikini lakini pia ni lazima  wanufaika wenyewe  kujituma.

"Fursa tuliyoipata ni ya thamani kubwa, na sisi hatutamuangusha rais, tutaendelea kuunga mkono kauli ya Rais Magufuli kwa vitendo, kupitia kilimo hiki cha pilipili" amesema Muhoza

Nae Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kibaha Vijijini, Murtala Mkumba licha ya kufurahishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri hiyo, ametoa pongezi kwawatendaji wa Halmashauri na wananchi kwa kusimamia utekelezaji wa miradi hasa kwa kuzingatia gharama,Muda na ubora  wa  mradi.

Aidha amewataka wanufaika hao kujituma kufanya kazi na kuhakikisha miradi hiyo inawatoa kwenye lindi la umasikini waliokuwa nao hapo awali na kuwa wajasiriamali wakubwa katika taifa letu.

Hata hivyo wajumbe wa kamati hiyo wameridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi inavyokwenda kwani miradi mingi iliyotembelewa iko katika hatua nzuri za utekelezaji huku miradi hiyo ikilenga zaidi kuwakwamua wananchi kutoka katika umaskini.


Kamati ya siasa Wilaya ya Kibaha Vijijini imefanya ziara ya siku mbili Kwenye  halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kutembelea jumla ya miradi 5  ya maendeleo na kujionea namna shughuli za utekelezaji wa miradi hiyo unavyokwenda katika halmashauri  hiyo.



Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.