Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA UCHUMI YAIPONGEZA SERIKALI KWA KUSOGEZA HUDUMA KARIBU NA WANANCHI

Posted on: July 26th, 2023

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za jamii Halmashauri ya Wilaya Kibaha Mhe. Shomari Mwinshee ameipongeza Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa inayoifanya ya kusogeza huduma karibu na wananchi.


Shomari ametoa pongezi hizo Jula 27wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kwa robo ya nne ambapo walitembelea katika Hospitali ya Wilaya na kukagua vifaa tiba vilivyonunuliwa katika hospital hiyo.


Hospitali hiyo ya Wilaya ilipokea miln. 100 kwa ajili ya kununua mashine ya macho na meno .


Amesema kabla ya kujengwa kwa Hospitali hiyo huduma za macho na meno zilikuwa zinatolewa kwenye kituo cha afya Mlandizi jambo lililosababisha msongamano mkubwa kwenye kituo hicho.


" Sasa wananchi watapata huduma hizo kwenye Hospitali ya Wilaya tunaipongeza sana Serikali ya awamu ya sita " amesema Shomari.


Shomari pia amempongeza Mganga Mkuu wa Wilaya pamoja na wataalamu wa afya kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuwahudumia wananchi pamoja na changamoto mbalimbali walizonazo na kuahidi kufanyia kazi  na zilizo nje ya uwezo watazifikisha ngazi za juu.


Pamoja na hayo Shomari amewapongeza wakuu wa idara za afya, elimu  na maendeleo ya jamii kwa kufanya kazi kwa juhudi kwani ndani ya mwaka mmoja akiwa mwenyekiti wa kamati ya huduma za jamii amefanya kazi kwa ushirikiano na wataalam hao na kuweza kupata mafanikio makubwa ikiwemo kufungua Zahanati ya Msufini na Mpiji stesheni.


Naye Mjumbe wa kamati hiyo Mhe. Paul amempongeza Afisa Elimu Msingi pamoja na timu yake kwa kazi nzuri waliyofanya katika kusimamia  ujenzi wa madarasa ya BOOST mradi ambao  wameukagua na kujiridhishwa na ubora wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ambavyo vineonyesha thamani ya fedha.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU NA UWEKAJI WAZI TAARIFA ZA MPIGA KURA AWAMU YA PILI YAFANYIKA KIBAHA

    May 14, 2025
  • WATAALAM WA AFYA PWANI WAKUTANA KUJADILI KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA WATOTO WACHANGA

    May 14, 2025
  • VIONGOZI WA VYAMA SIASA WARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA MKUU WA WILAYA NA MKURUGENZI MTENDAJI KIBAHA DC

    May 07, 2025
  • ELIMU YA USALAMA BARABARANI YATOLEWA KWA MADEREVA NA WATUMISHI WA UMMA KIBAHA DC

    May 13, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.