• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Siasa ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Imefanya Ziara ya Kukagua Miradi ya Maendeleo

Posted on: January 27th, 2023

Kamati ya siasa ya Halmashauri ya wilaya ya Kibaha imefanya  ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Halmashauri.

Miradi iliyokaguliwa na kamati hiyo ni pamoja na mradi wa umwagiliaji wa mwangomole unaopatikana kata ya Kwala , mradi huu uliibuliwa na jamii ya kwala mwaka 2006 kupitia mpango wa kuendeleza sekta ya kilimo Wilaya (DADPs).  Lengo kuu ilikuwa ni kutengeneza miundombinu ya umwagiliaji ili kuongeza uzalishaji wa zao la mpunga. Mradi huu mpaka sasa umegharimu Tsh 1,174,960 na wakulima wameanza kulima.

Mradi mwingine uliotembelewa ni  mradi wa maji Kwala ambao unasimamiwa na Ruwasa Kibaha mradi huu unahusisha ujenzi wa tanki la maji lita 500,000 kwenye mnara wa mita 12, ujenzi wa nyumba ya mashine na vituo 12 vya kuchotea maji .mradi huu hadi kukamilika utagharimu Tsh 1,436,546 na unatarajiwa kuhudumia wananchi 9,500 kata ya kwala imekuwa na changamoto ya maji kwa kipindi kirefu hivyo mradi huu utakuwa mkombozi kwa wananchi wa kwala.

Mwenyekiti wa Ccm Kibaha ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hasan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwakumbuka watu wa Kwala kwani suala la maji katika kata hiyo ni kero kubwa.

Pia kamati ilitembelea ujenzi wa kituo cha afya kwala kinachojengwa kwa fedha za tozo jumla ya milioni 500 zimepokelewa kutoka serikali kuu kwa awamu mbili awamu ya kwanza Halmashauri ilipokea milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa jengo la OPD na maabara na awamu ya pili milioni 250 kwa ajili ya ujenzi  wa jengo la wazazi , upasuaji pamoja na jengo la kufulia.

Kamati ya siasa imewapongeza watendaji kwa usimamazi mzuri wa ujenzi wa majengo hayo kwani thamani ya fedha inaonekana.

Ujenzi wa madarasa manne  shule ya msingi Madege  kwa gharama ya milioni 112,500,000 ulitembelewa na kamati ya siasa . kamati hiyo iliendelea kupongeza juhudi za serikali katika kuboresha miundombinu ya elimu kwani shule ya Msingi Madege madarasa yao yalikuwa chakavu kabisa lakini sasa wanafunzi wanasomea kwenye madarasa mazuri nay a kuvutia .

Ujenzi wa zahanati ya Kisabi iliyopo Mtongani Mlandizi ulitembelewa pia na kamati ,jumla ya milioni 83 zimetumika katika mradi huu na upo katika hatua za ukamilishaji.

Kamati pia ilitembelea ujenzi wa madarasa manne shule ya sekondari Mpelumbe Bokomnemela madarasa haya yamekamilika kwa gharama ya milioni 80 fedha za kapu la mama na tayari yamepokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alimpongeza mwalimu mkuu wa shule hii kwa usimamazi mzuri wa fedha za serikali na kuagiza walimu wakuu wengine wenye miradi wakajifunze kutoka Boko

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.