• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Fedha Mipango na Uongozi Imefanya ziara ya Kukagua miradi

Posted on: July 25th, 2022

Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya wilaya ya Kibaha imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi inayotekelezwa ndani ya Halmashauri ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya vikao vya kamati ya robo ya nne  ya mwaka wa fedha 2021/2022.

Miradi iliyotembelewa na kamati hiyo pamoja na Kamaka Industrial park,ujenzi wa shule ya sekondari Kikongo pamoja na ujenzi wa zahanati ya Kisabi.

Wajumbe wa kamati ya fedha walitembelea Kamaka industrial park na kupewa maelezo ya kina kuhusu uwekezaji huo .

Akiongea wakati wa ziara hiyo Fanuel Mbwagha Mhandisi wa ujenzi katika mradi wa Kamaka industrial Park alisema eneo wanalomiliki ni jumla ya ekari 1,000 na wanategemea kujenga viwanda 220 na tayari wawekezaji mbalimbali wameanza kufanya maombi ya kupewa maeneo kwa ajili ya kufanya uwekezaji.

Mbwagha alisema katika eneo hilo la indrustrial park huduma mbali mbali zitapatikana ikiwemo bandari kavu, kituo cha polisi,kituo kidogo cha mabasi ,uwanja wa mpira, kituo cha kujazia Mafuta,nyumba za kuabudu pamoja na tank kubwa la maji lenye ujazo wa lita milioni moja.

Pamoja na hayo Mbwagha alisema shughuli za miundombinu katika eneo hilo zitakuwa zimekamilika ifikapo mwezi wa kumi hivyo watu wote kutoka nadani na nje ya nchi wanakaribishwa kuleta maombi  ya kuwekeza katika eneo hilo.

Mjumbe wa kamati ya fedha uongozi na mipango Mhe. Josephine Mbaga aliwapongeza wawekezaji hao kwa kufanya uwekezaji ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuwashukuru kwa kuwapa kazi za muda wananchi wa kibaha na kuwaomba kazi za kudumu zikianza kutolewa wawape kipaombele vijana wa Kibaha wenye sifa.

Kamati hiyo pia ilitembelea shule ya sekondari  mpya ya Kikongo inayojengwa kwa fedha za Sequip jumla ya milioni mia nne sabini  ambapo shule hiyo ipo kwenye hatua ya ukamilishaji.

Aidha, Kaimu Elimu Sekondari Dorice Semkiwa amesema wanatarajia shule hiyo kuanza kufanya kazi mapema mwezi wa tisa hivyo wanafunzi wanaosoma shule za mbali kama Ruvu Station na Kwala watahamishiwa kwenye shule hiyo mpya.

Makamu mwenyekiti wa Halamshauri Eupharasia Kadala alitoa pongezi kwa wasimamizi wa mradi huo kwani maradi umejengwa kwa viwango vizuri na dhamani yua fedha inaonekana.

Kamati hiyo pia ilitembelea mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Kisabi ambayo inajengwa kwa fedha za serikali kuu jumla ya million hamsini zimetolewa na ujenzi upo katika hatua za ukamilishaji .

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.