• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

JUKWAA LA WANAWAKE KIBAHA DC LAFANYA UCHAGUZI, DKT. MAIMUNA AIBUKA MWENYEKIT

Posted on: June 23rd, 2025

 Wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kupitia Jukwaa lao la maendeleo wamefanya uchaguzi wa viongozi wapya watakaoliongoza jukwaa hilo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo, ambapo Dkt. Maimuna M. Yusuph ameibuka mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti kwa kupata kura 33 kati ya 52 zilizopigwa.

Uchaguzi huo umefanyika katika Ukumbi  wa Halmashauri na kusimamiwa na Mratibu kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii, Bi. Diana Brandus, aliyebainisha kuwa nafasi zilizogombewa ni Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu, Katibu Msaidizi na Mweka Hazina.


Katika matokeo mengine ya uchaguzi huo, Leah Mahonya alichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti kwa kura 27, huku Lina Chamba akinyakua nafasi ya Katibu kwa kura 33.


Mariamu Mbuganj alipata ushindi wa kishindo katika nafasi ya Katibu Msaidizi kwa kura 51, na Zuwena Kibwana Ramadhani aliibuka Mweka Hazina kwa kura 27.


Uchaguzi huo ulitanguliwa na elimu ya kisheria iliyotolewa na Mwanasheria wa Halmashauri, Bi. Yasmini Makanya, aliyewataka wanawake kujitambua na kusimamia haki zao katika masuala ya talaka, mirathi, uandishi wa wosia, na mgawanyo wa mali baada ya

kuvunjika kwa ndoa.


“Ni muhimu wanawake wakajua haki zao ili waweze kuishi kwa heshima, usawa na usalama katika jamii,” alisisitiza Bi. Makanya.


Kwa upande wake, Afisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri, Bw. Lawrence Mishinga, aliwahimiza wanawake kutumia fursa ya uwepo wa jukwaa hilo kujikomboa kiuchumi kupitia ujasiriamali na mikopo inayotolewa na Halmashauri kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani.

“Epukeni mikopo inayodhoofisha mitaji yenu – mikopo ya ‘kausha damu’. Jipangeni, jikusanyeni, na tumieni fursa zilizopo kuleta maendeleo yenu binafsi na ya taifa kwa ujumla,” alisema Bw. Mishinga.


Jukwaa la Wanawake Kibaha DC lilianzishwa rasmi mwaka 2021 na uchaguzi wa sasa ni wa pili kufanyika tangu kuanzishwa kwake. Jukwaa hilo limeendelea kuwa sauti ya mwanamke katika masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia pamoja na maambukizi ya VVU/UKIMWI.

Matangazo

  • MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI YANATARAJIWA KUANZA RASMI TAREHW 01.08.2025 WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 18, 2025
  • Tarehe 31.07.2025 MHESHIMIWA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN ATAZINDUA BANDARI KAVU YA KWALA WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA July 28, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuzindua bandari kavu Kwala tarehe 31.07.2025 July 25, 2025
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA, RAIS SAMIA AZINDUA SAFARI ZA MIZIGO SGR NA BANDARI KAVU MKOANI PWANl

    July 31, 2025
  • KWALA YAANDIKA HISTORIA MPYA: BANDARI KAVU, VIWANDA NA TRENI YA MIZIGO KUZINDULIWA NA RAIS SAMIA KESHO

    July 30, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • MANAGEMENT YA HALASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA YATEMBELEA BANDARI KAVU KWALA

    July 28, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.