• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Yajipanga Kudhibiti Mianya ya Wakwepa Ushuru

Posted on: September 7th, 2019

BAADHI ya madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kibaha,Pwani wameielekeza halmashauri hiyo kuangalia namna ya kuongeza mashine( posi )na mageti kwenye maeneo ambayo yanaonekana ni njia za panya zinazotumika kukwepa ushuru.

Hatua hiyo wameieleza ,inalenga kuinua mapato ya ndani ,kudhibiti utoroshaji na kudhibiti mianya ya wizi.

Wakizungumzia kwa nyakati tofauti, wakati wa baraza la madiwani, diwani wa kata ya Dutumi Mkali Kanusu na diwani wa Kilangalanga Mwajuma Denge walisema, yapo maeneo ambayo makusanyo yanashuka kutokana na kukosa posi na mengine watu kukwepa kulipa ushuru.

Denge alisema, kumekuwa na wimbi kubwa la kutorosha mkaa pasipo kulipia ushuru eneo la Ruvu Madimla kutokana na kutokuwepo geti.

Aliomba kwa mkurugenzi, kuweka geti pamoja na Mzenga Njiapanda ili kudhibiti upotevu wa mapato.

Nae Kanusu alifafanua, suala la mapato ni la wote ambapo inastahili kusimamia wakusanyaji wa ushuru kwenye vizuizi na kuangalia namna ya kuongeza nguvu pasipo kuwepo mageti.

“Pia watendaji wa kata watoe taarifa ya makusanyo kwa madiwani,kutuambia kilichopatikana na changamoto zinazokwamisha kuongeza makusanyo,tubadilishe utaratibu wa kufanya tathmini wenyewe kuanzia kata,hii itatusaidia”alielezea Kanusu.

Mkurugenzi wa halmashauri hiyo,Butamo Ndalahwa alieleza, wanakusudia kuinua mapato katika vyanzo vya mapato ya ndani kwa kufanya ukaguzi wa kushtukiza na kusimamia kikamilifu vizuia vyote .Alielezea kuwa mbali ya hilo ,wameanza kudhibiti baadhi ya mageti ikiwemo geti la Madege kutoka makusanyo 0 hadi sasa wanakusanya milioni mbili kwa wiki.“Kamati ya fedha tunatenga muda na kutembelea miradi mbalimbali na mageti hayo ambapo maeneo yasiyoridhisha wameongeza usimamizi na kuongeza mageti katika sehemu zinazotumiwa kukwepa kodi”alielezaAlibainisha ,ili kuongeza msukumo wanatarajia kuanza kushindanisha kata kwa kata na kutoa zawadi kwa kata itakayoongoza kwa makusanyo.Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Mansoor Kisebengo alisema makisio ya makusanyo ya ndani yalikuwa bilioni 2.164.210, hali halisi ya makusanyo hadi sasa ni bilioni 1.370.278 sawa na asilimia 63.Kisebengo aliainisha,wamepokea asilimia 80 ya mapato kutoka serikali kuu,hivyo aliiasa halmashauri na madiwani kujipanga kupitia mapato ya ndani ili kusonga mbele na kuleta maendeleo kwa wananchi wa Kibaha.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.