• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Wilaya ya kibaha Imefanya Maadhimisho ya siku ya afya ya Kijiji

Posted on: July 5th, 2022

Wakazi wa Kijiji cha Kwala Halmashauri ya Kibaha wameiomba Serikali kupatiwa huduma ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi ambayo kwasasa haipatikani kwenye Zahanatiyao. Ombi hilo limetolewa jana katika kijiji hicho wakati wa maadhimisho ya siku ya afya ya kijiji ambayo huazimishwa kila robo ya mwaka ambapo  wataalam wa afya wanapeleka huduma za upimaji wa afya kwenye kijiji kimoja na kuendesha huduma ya upimaji bure zikiambatana na kutoa ushauri wa matibabu. Aidha wananchi hao wameipongeza Serikali kwa kuadhimisha siku ya afya ya kijiji katika kijiji chao ambayo imewapa fursa ya kupata huduma nyingi ambazo hazipatikani katika Zahanati ya Kwala . Mariam Salum Mateke ni moja wa wakazi wa Kwala ameishukuru Serikali kwa kufikisha  huduma ya upimaji na kuwezesha wanawake wengi kupima saratani ya shingo ya kizazi huduma ambayo haipatikani kwenye zahanati ya zahanti ya Kijiji chao. Naye Omary Bakari ameipongeza Serikali kwa kufikisha huduma vipimo karibu na wananchi kwani wapo waliokuwa wakihitaji vipimo hivyo lakini hawakuvipata kwa wakati na huduma hiyo imekuwa ikifanyika kwa nadra. Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri Dkt. Wiliford Kyondo amesema huduma zote za vipimo ambavyo wananchi wameomba vitapatikana hivi karibuni katika kituo cha afya kwala ambacho kinajengwa kwa fedha za tozo na sasa kipo kwenye hatua ya ukamishaji Awali akizungumza kwenye maadhimisho hayo mratibu wa  mama na mtoto wa Halmashauri hiyo Maria Kahema amesema huduma mseto zilitolewa kwa makundi yote ya wazee wanawake na vijana. Maria amesema lengo  la siku ya afya ya kijiji ni kuwajengea  wananchi tabia ya kupima afya zao hata kama hawaumwi kwani wengi wao hawana desturi ya kuchunguza afya wanasubiri hadi waumwe ndio waende kufanya uchunguzi kwenye vituo vya huduma za afya. “Katika siku hii tumeitumia kuwafundisha wananchi afya  ya uzazi na mtoto kwani tunatamani mama anaebeba ujauzito ajifungue salama yeye na mtoto mtoto wake, hivyo tuliwaeleza wananchi changamoto zinazosababisha mama mjamzito kupoteza maisha” alisema Maria ameongeza wamefanya kipimo cha saratani ya mlango wa kizazi kwa wanawake kwani tatizo hilo limekuwa kubwa kulingana na takwimu walizozipata walipoenda kwenye vijiji vingine ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Kibaha. “Tumeona tutumie fursa  hii  kupima saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake kwani kipimo hiki hakipatikani kwenye zahanati ya Kwala waliogundulika na viashiria wataenda kutibiwa kwenye kituo cha afaya Mlandizi”alisema Maria Rehema Rashidi Mwenyekiti wa Huduma za Jamii kijiji cha Kwala ameishukuru Serkali kw akuleta huduma za upimaji wa saratani kwenye kijiji chao kwani huduma hiyo haipatikani kwenye zahanati yao ya kwala, itafutwe namna ya  vipimo vyote vipatikane kwenye zahanati yao ili wanawake wapate huduma hiyo mara kwa mara. 

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • KAIMU KATIBU TAWALA WILAYA YA KIBAHA ATOA WITO KWA WENYEVITI WA MJI MDOGO MLANDIZI KUZINGATIA UADILIFU

    February 11, 2025
  • MAKAMU WA RAIS AZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, ATOA WITO DHIDI YA UBADHILIFU

    April 02, 2025
  • ELIMU YA LISHE JUU YA USINDIKAJI WA BIDHAA ZA VYAKULA YATOLEWA KIBAHA DC.

    March 23, 2025
  • Mwenyekiti wa Halmashauri Amshukuru Rais Samia kwa Fedha za Miradi

    February 05, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.