• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
Kibaha District Council
Kibaha District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

  • Mwanzo
    • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
  • Kuhusu sisi
    • Historia ya halmashauri
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
        • SP FINAL DRAFT
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasmali Watu
      • Divisheni ya Maendeleo ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu Sekondari
      • Divisheni ya Miundombinu, Maendeleo ya Mijini na Vijijini
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Usimamizi wa Sheria
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usafi na Udhibiti wa Taka
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo cha Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Fedha na Uhasibu
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma zetu
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi Sehemu ya Mifugo
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Afya ,Ustawi wa Jamii na Huduma za Lishe
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya kisheria
      • Ratiba ya kuonana na mwenyekiti wa halmashauri
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uchumi na Mipango
      • Maadili
      • UKIMWI
      • Huduma za Jamii
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Sheria
    • Fomu
    • Mkataba wa huduma kwa wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Majarida
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA KIBAHA YAZINDUA ZOEZI LA UNYUNYIZIAJI VIUADUDU KUDHIBITI MALARIA

Posted on: June 17th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha imezindua rasmi zoezi la unyunyiziaji viuadudu katika mazalia ya mbu, ikiwa ni jitihada za kudhibiti na kutokomeza ugonjwa wa malaria katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.

Uzinduzi wa zoezi hilo umefanyika katika Kata ya Janga, iliyopo Tarafa ya Mlandizi, ambapo zoezi hilo litaendelea katika kata nyingine 13, na hivyo kufikia jumla ya

kata 14 zinazolengwa.


Katika zoezi hilo, Halmashauri imepokea lita 3,000 za viuadudu kutoka Serikali Kuu, ambazo zitatumika kunyunyizia kwenye mazalia ya mbu ili kuvunja mzunguko wa uzalishaji wa mbu waenezao malaria.


Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mratibu wa maleria , Daniel Mwita alisisitiza kuwa matumizi ya viuadudu ni njia salama, rafiki kwa mazingira na yenye ufanisi mkubwa katika kupambana na mbu waenezao malaria.

Kwa upande wake, Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, Dkt. Festo Lyimo, aliwasihi wananchi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wataalamu wa afya na viongozi wa kata ili kufanikisha kikamilifu zoezi hilo muhimu.

Kaulimbiu ya kampeni hiyo ni: "Malaria inatokomezwa na sisi – Wekeza, Chukua Hatua, Ziro Malaria inaanza na mimi."

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI WA BVR HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA January 23, 2025
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • MABADILIKO YA TAREHE YA USAILI September 24, 2024
  • Angalia Vyote

Matukio mapya

  • JUKWAA LA WANAWAKE KIBAHA DC LAFANYA UCHAGUZI, DKT. MAIMUNA AIBUKA MWENYEKIT

    June 23, 2025
  • MADIWANI KIBAHA WAAGWA RASMI, MAFANIKIO YASISITIZWA KAMA URITHI WA USHIRIKIANO

    June 20, 2025
  • HALMASHAURI YA KIBAHA YAZINDUA ZOEZI LA UNYUNYIZIAJI VIUADUDU KUDHIBITI MALARIA

    June 17, 2025
  • KIBAHA DC YAVUKA MALENGO YA MAPATO, YAKAMILISHA MIRADI YOTE YA MAENDELEO

    June 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Hotuba ya Rais Magufuli wakati wa Kuzindua bunge
Video Nyinginezo

Kurasa za Haraka

  • TOVUTI YA MKOA WA PWANI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA AJIRA
  • TOVUTI YA WANANCHI
  • TOVUTI YA BARAZA LA MITIHANI
  • TOVUTI YA WIZARA YA AFYA
  • TOVUTI YA EWURA

Tovuti Zinazoshabihiana

  • TAMISEMI
  • MKOA WA PWANI
  • TANZANIA
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea tovuti

Free Visitor&Stat Counter

Location Map

Wasiliana Nasi

    KIBAHA DISTRICT COUNCIL

    Anwani ya Posta: P.O BOX 30153

    Simu ya Mezani: +255 23240224

    Simu: +255 0767520048

    Barua pepe: ded.kibaha@pwani.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Disclamer
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM)
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Kibaha District Council . All rights reserved.